Bwana Mhando wa Tanesco acha kumwongopea Waziri Mkuu

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
This is a message to Mhando wa Tanesco.

Naona haya mambo ya chemba naona hayafanyi kazi kwako sasa naona bora niende public na wa Tanzania na dunia ijue.

Kama hujaingia JF basi nina hakika Badra Masoud ataufikisha huu ujumbe kwa bosi wake. Na kama Mhando unasoma huu ujumbe nakuomba uache ku behave kama Mhuni na uache kuleka taarifa za uwongo kwa wafuatao kwani unachokifanya ni hatari kwani hawa watakuona kuwa uko honest ili hali wewe unawapa taarifa za uwongo.

Pia nakushauri uache kupeleka taarifa za uwongo kwa:

Mheshimiwa rais

Waziri Mkuu

Katibu Mkuu Kiongozi

Mwanasheria mkuu wa serikali

Waziri wa Nishati

Katibu Mkuu (Waziri Mkuu)

Acha huu upuuzi unaoufanya na kuhamisha goal posts. Taifa liko kwenye wakati mgumu sana kiuchumi na maendeleo yana kwama kwa sababu ya matatizo ya umeme sasa wewe umeamua kutumia muda wako mwingi kuhamisha lawama kwa wengine wakati unajua fika kuwa at the end of the day kuwa mwananchi wa kawaida anataka umeme toka TANESCO!

Bwana Mhando if you cant take the heat stay out of the kitchen na submit resignation yako kuliko kukaa na kuwamislead waTanzania na kupoteza muda mwingi kwenye vikao vya kutaka kuwapaka matope wenzako wakati wewe ndio kizingiti kikubwa kwenye hili sakata la umeme.

In short wana JF Mhando ukweli na uadilifu wa Mhando ushaanza kuwa questioned kwenye vikao baada ya kutuma barua zaidi ya 6 zenye maelezo tofauti juu ya utatuzi wa tatizo la umeme.
 
Thread started:
18th December 2011, 10:17
by: JF XXL

Birds and ponds theory?
 
Kwani nani alimweka hapo???na kwa sifa zipi???kuripoti wenzie????au weledi,uzoefu na uhodari katika kuchapa kazi???lazima tujiulize hapo ndugi zangu.
 
Salaam zako ziliwafikia walengwa na kuanzia leo anakalia bench ili kupisha uchunguzi.
 
kwa kifo cha mwana CCM IRAMBA JE WARAKA UHUU WA CHADEMA NI KWELI? MAADHIMIO YA KAMATI KUU YA CHADEMA. Wajumbe kama tulivyokubaliana kwakuwa chama chetu sasa kinakaribia kushika dola na kufatiliwa kwa karibu sana na wapinzani wetu hasa CCM kwa lengo la kutudhoofisha, tunaendelea kukubaliana kuwa mihutaasari na maadhimio yetu kutoyaweka sana kwenye maandishi kwa kirefu. Baada ya majadiliano kimsingi katika ajenda ya kukiimarisha chama tumekubaliana shughuli rasmi za kufanywa na chama hasa mwezi wa saba baada ya kufanikisha serikali ya CCM kuyumbishwa na mgomo wa madaktari sasa tujielekeze: 1.Kuhakikisha walimu nao wanaandika historia ya kugoma ata kwa siku moja ,pili wanafunzi wa vyuo ambao ni wanachadema wakati huu walikizo wafanye kazi kubwa ya kuendelea kuhaminisha umma kuwa serikali ya CCM ndio adui yao mkubwa. 2. Chama kinamtuma rasmi mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama bwana Lwakatare na kwakushirikiana na Yule mwanachama wetu Dk wa Phd ambae anafanyia biashara zake maeneo ya mwenge njia ya kuelekea kiwanda cha coca cola ambae ni kama mwana Iramba, kuhakikisha chadema kinapata madhaifu makubwa ya MTETEAJI makini wa CCM bwana Mwigulu Nchemba ili kumdhoofisha yeye na jimbo lake asichaguliwe tena. 3.Kuhakikisha tunakuwa na mikakati madhubuti na makini ya kufanikisha uchaguzi wa chama mpaka july 2013 kwa ni tukiweza kufanikisha chaguzi , hiyo itatupa uimara sana wakuchukua dola 2015. 4.Kuendela kuwatafuta wahisani wote wa nchi za magharibi ambao hawataki kuviona vyama vilivyowatoa wakoloni vikiendelea kuwapo katika historia, vinaisaidia chadema kifedha na kimkakati ilikufuta historia ya CCM Tanzaania na kama ilivyofanyika kwa KANU Kenya.tuendelee kuwaaminisha mataifa ya n je kuwa CCM ni chama cha rushwa na ufisadi 5.Kuaminisha wa Tanzania wasiviamini vyombo vyote vya serikali na kwakuanzia tuanze na jeshi la polisi na usalama wa taifa, kwakuwa tulishasema kuwa tumetishiwa kufa, tutakataa mahojiano na jeshi la pilisi kama chombo tusichokiamini ili wananchi nao wasikiiamini. IDUMU NGUVU YA UMMA. DK: W. SLAA KATIBU MKUU.
 
naona fagio la kikwete linaendelea taratibu..alisema kua wakurugenzi watendaji wa mashirika ya umma nao wataondoka mmoja mmoja...naona ahadi iko pale pale
 
JF XXL upo wapi mkuu?

JF inakuhitaji sana mda huu, wito ulioutoaga sasa umeanza kuonyesha madhara!!

Njoo utupe michoro (Blueprint) kamili..
 
Last edited by a moderator:
leteni hizo barua ambazo mhando alipeleka copy kwa:

PS Waziri Mkuu
PS Nishati na madini
PS Finance
na copy zingine alizipeleka kivyake kwa PM

Mhando ni mnafiki mkubwa sana huyu
 
Back
Top Bottom