Mikutano ya (CHADEMA) kuendelea baada ya hali kuwa shwari

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Mkuu wa kitengo cha polis mkoani singida. Ameruhusu mikutano ya chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) baada ya kutokea vurugu katika mkutano wa hadhara uliofanyika tarehe 14 july.vurugu hizo zinazodaiwa kuhusishwa na mbunge wa jimbo hilo mwigulu nchemba zimesababisha watu kadhaa kujeruhiwa! Hata hivyo mikutano ya chadema itaendelea huku polisi wakiendelea na uchuguzi wa kina! Taarifa zaidi zitakujieni
 
Mkuu wa Polisi amesoma alama za nyakati na kugundua kuwa Mzinzi Mwigulu anawatumia polisi vibaya huku hatekelezi ahadi zake zaidi ya kuwanyemelea wanawake wa jirani na wale wa CCM.
 
Good news, maana magamba hawakawii kulitumia hilo tukio kuzuia mikutano ya CHADEMA

Peoooooooooooplez Poweeeeeeeeeeeeeer
 
Kwa hilo nawapongeza polis, wasikubali kutumika na watu wachache kwa maslahi binafsi kama mwigulu nchemba halitakii mema taifa letu"
 
Kama watachokozwa na wanaotumwa na Mwigulu watajitetea

Wataendelea kuchokozwa, kuzomewa na kupigiwa makelele kama ambavyo wanasiasa wote wanavyofanyiwa wakiwa jukwaani. Mchungaji Mktikila alipigwa jiwe na wafuasi wa CDM lakini si yeye au wafuasi wake waliuawa mtu. Ni vyema mkaendelea kuuwa watu ili kuweka picha kwenye maelezo ya akina Nchemba.
 
Wataendelea kuuwa kwa mawe?

Mbona waliokuwa wamebeba mawe ni mamluki wa ccm?
Mnajitahidi kutengeza uwongo picha zinaungua. Mawe yenu yamemwua mwenzenu, sasa mnashindwa kukiri kuwa jamaa alipigwa jiwe kimakosa na mamluki mwenzie.
 
Waimarishe ulinzi, wasikubali kushuhudia vurugu inatokea mbele yao huku wakiwa na taarifa mapema. Ni aibu kwa Jeshi letu la polisi.
 
Mbona waliokuwa wamebeba mawe ni mamluki wa ccm?
Mnajitahidi kutengeza uwongo picha zinaungua. Mawe yenu yamemwua mwenzenu, sasa mnashindwa kukiri kuwa jamaa alipigwa jiwe kimakosa na mamluki mwenzie.

Mimi na wewe tupo hapa salama, lakini polisi Singida imewakamata wapuuzi kadhaa kwa mauaji hao ndio watakaojua ni CCM au KAFU wakiwa wanamalizia maisha yao ya ujana gerezani.
 
Angalieni wako zenu huko, na wala msiwavishe nguo za Yanga, yule mzinzi akiwaona ataanza kuwanyemelea akizania ni wake wa magamba wenzake
 
na mshauri Mwigulu Afikie mahala akafuata siasa za kistaarabu za kama za Membe

Membe walipo fika CHADEMA aliwapokea vizuri zaidi na akawakaribisha chakula baada ya mikutano ya CHADEMA alijibu mapigo hivyo kazi kwa wananchi kuchambua lipi la ukweli na la uongo
 
Back
Top Bottom