Kura ya Maoni: Je, unaiamini Taarifa ya Kova Kuhusiana na Mkenya wa Dr Ulimboka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura ya Maoni: Je, unaiamini Taarifa ya Kova Kuhusiana na Mkenya wa Dr Ulimboka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Jul 14, 2012.

?

Je, unaiamini taarifa ya Kova kuhusu mkenya aliyekamatwa?

 1. Ndio

  1 vote(s)
  1.2%
 2. Hapana

  83 vote(s)
  98.8%
 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huu mchezo wa polisi kuwa wanasiasa utatufikisha pabaya. Tupige kura kuwaonyesha kama kweli sehemu hii muhimu ya watanzania inaiamini taarifa ya kova au la.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  tengeneza ukurasa wa kupigia kura! Kura za kutokuiamini hiyo report naamini zitafika 99.9% Ritz pekee ndiye atapiga upande ule mwingine.
  Nasubiri ukurasa.
  tafadhali, Mods, Invisible help!!!!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Katika hali ya kawaida wange-retrive numba za simu zilizowasilaiana na Ulimboka mpaka anatekwa wangeshamkamata mtu aliyetengeneza huu mkakati lakini kwa makusudi kabisa wameamua kufanya mambo ya kihuni ili kuwahadaa watanzania. Hakuna kitu hapo hayo ni maigizo tu.
   
 4. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  hapana, ckubaliani nayo
   
 5. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ni Ritz na Kupeng'e ndo watavote kuiamini japo hawaiamini
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,946
  Likes Received: 1,272
  Trophy Points: 280
  i cant vote HAPANA
   
 7. E

  Emil Kalanga New Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitakubaliana nayo endapo wataniaminisha kiukweli kwa ku-justify kama wasomi.
   
 8. T

  Tuesmda Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi sishangai, maana maigizo kama haya TZ mbona nimesha yazoea.SIRI TUNASEMA ....BAYANA TUNAFICHA
   
 9. T

  Tuesmda Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 7, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwenye ku vote .Mimi kura yangu ni KUTOKUWA NA IMANI CCM WOTE
   
 10. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sina imani maana ripoti yenyewe ni kama uwendawazimu fulani. Tangu lini watekaji wasifahamiane wao kwa wao na kwa wametumwa na mtu wasiyemfahamu??? Ripoti gani hiyo kama siyo ukichaa. Mtanzania anayekubali ripoti hii ni sawa na kusema hana akili timamu pia! I am sorry, Pasco, Ritz
   
 11. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 935
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 60
  Uongo huu,siafikiani nao,hii sinema mbovu
   
 12. M

  Mkulima aka peazant Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haina chembechembe hata moja ya ukwel kikwete na serikal yake watambue kwamba maovu,dhuluma,ubabe,chuki,kiburi kinapozid kwenye jamii ajue kwamba ukomboz umekaribia.
   
 13. Platnam

  Platnam JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 208
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Siamini chochote kinachozungumzwa na polisi wa tanzania labda kesi za wzi wa kuku..
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mi naiamini kwa asilimia miamoja kuwa ni ya UONGO!
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kova anautafuta u-IGP kwa nguvu nyingi sana
   
 16. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hell Noooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!
   
 17. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 18. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG][​IMG]
   
 19. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG][​IMG]
   
 20. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ndo huyu!? au huyu ndo Msangi!!!?
   
Loading...