KWA MUJIBU WA POLISI WAITARA ALISEMA HIVI:
Mwigulu Nchemba(Mb) ni malaya, mzinzi na mpumbavu..Jeshi la polisi likachukua hatua na kumpandisha kizimbani.
NA :
Lusinde(MB) alisema yafuatayo katika...
Waziri Mansour Yusuf Himid (ambae ni CCM) ambae ni wazir asokuwa na wizara maalum Zanzibar katika kuchangia hotuba ya WIZARA ya Sheria na Katiba ya Zanzibar leo hii jioni amepaza sauti kali kwa...
Na. M. M. Mwanakijiji
Wanaposhindwa hoja wao huleta vioja; wanaposhindwa hoja wao huleta kejeli; wanaposhindwa hoja wao hutumia nguvu; na wanaposhindwa hoja wao hukimbilia mahakamani. Baada ya...
Aliyekuwa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Kalley Pandukizi akimkabidhi Kitabu cha Katiba na Sera za Chama Mwenyekiti mpya Ndugu Cosmas Wambura.
Mwenyekiti mpya wa Chadema Washington, Cosmas...
utaacha lini uhuni wa kulipa watu wawauwe wasio wanaccm na kwa hili hamtafanikiwa kwa kuwa watanzania hawaitaki ccm tena hata mkiua,mkichinja hata mkinunua watu wanasema imetosha wanataka kuweka...
Mwita Waita (wa kwanza kushoto), akifurahi na wafuasi wa CHADEMA mahakamani mjini Singida, baada ya kupata dhamana ktk kesi ya mauaji.
Na: Elisante John.
Julai 16,2012.
WATU sita wamepandishwa...
Live ni kipindi cha masheikh na siasa
Wanatoa historia ndefu kuhusu waislam walivyoongoza mapambano ktk kumkomboa Mtanzania.
Wanamtaja Mwalimu Nyerere kama alikubali kufunga saumu kwa kushrikiana...
JF ni darasa kubwa sana, miaka minne iliyopita, kuna mwanachama mmoja alitupa somo hapa kama ifuatavyo
Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe kwako.
Mwulize jina lake
Mwulize namba...
Jamaaa namkubali sana kwa ujasiri huu..
"Nipo Kituo cha Polisi Moshi nikiandika maelezo kuhusu tuhuma za kushusha bendera ya CCM kwenye ofisi za serikali ya kijiji chekereni na kupandisha...
Kwa walio na access na tbc waangalie kipindi cha propaganda kuhusu mgomo wa madaktari..kuna prof. kuzilwa makamu mkuu wa chuo mzumbe..nimemdharau anavyosema rasilimali hazitoshi so madaktari...
MONDAY, JULY 16, 2012
Na John Maduhu, Mwanza
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, mwishoni mwa wiki alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na...
Wakuu nimeambiwa kampuni ya Tanzanite one imesha kufa rasmi na imekuja Rich Land amabyo kuna mtoto wa mkuu mkoja ana hisa 40 humo sasa nauliza inakuwaje wanajigeuza tena badala waendelee baada ya...
​​​​Nimejalibu kufuatilia threads na post nyingi humu janvini, pale threads inapohusu CCM, ni majina haya mawili ya wana CCM ambayo wanajanvi wengi kwa kiasi kikubwa...
Mwandishi Wetu
Toleo la 247
11 Jul 2012
Wana uhusiano na kampuni ya Philtex ya Dubai
Ni mbinu za kudhoofisha Muungano
SAKATA la meli za Iran kusajiliwa na kisha kupeperusha bendera ya...
Wakuu habari nilizozipata hivi punde kutoka Geita leo mida ya mchana mkuu wa mkoa huo alimfukuza Afisa elimu Taaluma wilaya ya Bukombe kutoka katika semina ya sensa iliyoanza leo mjini humo...
Wakuu nimefuatilia michango ya Wabunge wa CCM kwenye Budget ya Ulinzi leo hii na imejionyesha dhahiri kuwa kuna mkakati wa pamoja wa wabunge wa CCM katika kupotosha ukweli juu ya mauaji...
Huku akijiamini na kuamini kuwa aliyokuwa akiyasema ni kweli na ukweli tupu, Mh. Tundu Lissu alitoa tuhuma nzito dhidi ya Mh. RAIS, WAHESHIMIWA MAJAJI, na MAAFISA WA SERIKALI.
Nimefanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.