TBC.kipindi cha propaganda kuhusu mgomo wa madaktari

Makamuzi

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
1,155
263
Kwa walio na access na tbc waangalie kipindi cha propaganda kuhusu mgomo wa madaktari..kuna prof. kuzilwa makamu mkuu wa chuo mzumbe..nimemdharau anavyosema rasilimali hazitoshi so madaktari waridhike japo kwa wanachokipata
 
Je jambo hili lina tija sasa kujadiliwa katika kipindi maalum katika tv ya taifa.
Madaktari walioalikwa wote wanaongea kuonyesha madaktari walipogoma haikuwa halali, je tunahitaji ushauri wa watu hawa wahuni?
Mimi naona hawa wanatafuta umaarufu tu.
 
La kuvunda halina ubani, ccm wameishiwa nguvu na mamlaka ya kuendelea kutawala, angalieni mbinu za kijinga na za kitoto zinanotumiwa na ccm kukabiliana na CDM.
 
Nimekasirika sana kuangalia huu usengenyaji dhidi ya mgomo wa madaktari. Na hakika kilikuwa kipindi cha propaganda.
 
Ha ha haa, mm nilikuwa nacheka tu, manake Dr. Njelekela, Prof. Museru na Prof. Kuzilwa hawakujiandaa kabisa na hawakuwa wanaongea kama watu ambao wanajua wanachokiongea! Dah, aina ya viongozi tulionao ni tatizo kubwa sana!
 
Je jambo hili lina tija sasa kujadiliwa katika kipindi maalum katika tv ya taifa.
Madaktari walioalikwa wote wanaongea kuonyesha madaktari walipogoma haikuwa halali, je tunahitaji ushauri wa watu hawa wahuni?
Mimi naona hawa wanatafuta umaarufu tu.

They must have been paid very high to pretend to be so stupid in national tv
 
naye kapiti afadhila tuu .kwanini asishukuru.Alishanyimwa hewa kipindi cha warioba
 
Back
Top Bottom