Mwita mwikabe wa chadema afikishwa mahakamani.

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
kiongozi wa chadema makao makuu amefikishwa mahakamani mkoani singida kwa kumtukana mbunge mwigilu nchemba kuwa ni malaya.
 
Pambaf.....hizi mahakama hazina kazi ?? Nasikia hao akina Magulu ndo zao..wanawahaidi wachovu hao mahakimu kuwa wakifanya dili kama hizi basi watawasaidia kupata promosheni na kuhamishiwa ktk mikoa mizuri yenye rushwa kubwa kubwa...!! Yule DC wa Igunga walimzuga hivyo hivyo, akajifanya wamemvua baibui sijui na sidiria lkn baadaye wakamtosa na akawa anaishi wa aibu hadi alipotishia kujiuzulu ndo dhaifu mdogo aka mzee wa kulia -lia akamuonea huruma na kumuhamisha !
 
Kwa kweli hakumwambia uwongo
kwani mbunge huyu ni hatari kwa u.... Naskia kwa sasa ndo anaongoza kupenda ngozi.
 
Pambaf.....hizi mahakama hazina kazi ?? Nasikia hao akina Magulu ndo zao..wanawahaidi wachovu hao mahakimu kuwa wakifanya dili kama hizi basi watawasaidia kupata promosheni na kuhamishiwa ktk mikoa mizuri yenye rushwa kubwa kubwa...!! Yule DC wa Igunga walimzuga hivyo hivyo, akajifanya wamemvua baibui sijui na sidiria lkn baadaye wakamtosa na akawa anaishi wa aibu hadi alipotishia kujiuzulu ndo dhaifu mdogo aka mzee wa kulia -lia akamuonea huruma na kumuhamisha !
Mkuu Mahakama hazishitaki wanaoshitaki ni Polisi
 
Hii habari haijakamilika. baada ya mahakamani, kawekewa dhamana au kawekwa rumande?
 
Yuko nje kwa dhamana ya tsh milioni 1!!!!!!!!!!!!
Jamani kwa kosa hilo ndo faini hiyo!!!!!
 
kiongozi wa chadema makao makuu amefikishwa mahakamani mkoani singida kwa kumtukana mbunge mwigilu nchemba kuwa ni malaya.

kwamba mwaigulu ni malaya, mpumbavu na hana akili haihitaji formula?
 
Kwani ni uwongio???kama yeye si malaya yule mke wa mtu alie m*** igunga ni uongo???
 
Du sasa nimeamini humu JF kuna, wapiga Ramli sikumbuki ni thread gani ila ni ubishi kati ya Josephine na burn karudi jina la Mwita Mwikabe kuwa atapelekwa Mahakamani lilitajwa sasa imetokea
 
Back
Top Bottom