Diwani wa CHADEMA ashusha bendera ya CCM na kupandisha ya Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa CHADEMA ashusha bendera ya CCM na kupandisha ya Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lucchese DeCavalcante, Jul 16, 2012.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [h=6]Jamaaa namkubali sana kwa ujasiri huu..

  "Nipo Kituo cha Polisi Moshi nikiandika maelezo kuhusu tuhuma za kushusha bendera ya CCM kwenye ofisi za serikali ya kijiji chekereni na kupandisha bendera ya Taifa! Niko tayari sana kwa hatua zitakazochukuliwa".
  [/h]Alberto Msando through Facebook
  Diwani wa CHADEMA Kata ya Mabogini, Moshi Vijijini
   
 2. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Watatisha kwa maneno ya ukali tu, hawana mamlaka ya kuchukua hatua yoyote.
   
 3. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kuna watu bado wanafikiri bado tuko zile enzi za chama kushika hatamu.Diwani hongera sana!
   
 4. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Thank you.
   
 5. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,418
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Hii nchi inataka viongozi kama wewe,iam real proud of you kamanda!
   
 6. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Safi, sana tu.

  CCM wameifanya nchi hii kuwa shamba la bibi. Kamanda Albert ni mwanasheria makini, anajua alichokifanya na ni vizuri wasomi kuiga mfano huu badala ya kuchumia tumbo. Ni mnukuu Hon. Rev. Peter Msigwa "tusikubali akili kubwa kuongozwa na akili ndogo".
   
 7. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Asante Wakili Msomi Albert Msando. Wataelewa tu hawa jamaa zetu...tara.......tibu
   
 8. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kazi njema na yafaa sana
   
 9. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hongera kaka kazi nzuri:
   
 10. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  anatafuta cheap popularity hana lolote huyo eti na yeye atokee kwa gazeti na tv
   
 11. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Utamfananisha na Lusinde au Mchemba?
   
 12. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  sasa hapa kata ipo chini ya nani?
   
 13. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mi ninavyofahamu,bendera ya taifa ndo inatakiwe iwekwe kwenye ofisi za umma.Sasa hili gamba lililo comment hapa juu lina maana gani au ndo udhaifu wenyewe?

  Eti cheap popularity,ni nani mwingine aliyewahi kuufanya uzalendo kama huu. nMaslahi ya taifa lazima yawekwe mbele na ndo maana hajaweka bendera ya CHADEMA bali ya taifa.

  Ndo unajiita KIBOKO YENU-kisichokuwa na fikra huru always!
   
 14. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Una maana lile jemba la uzinzi?
   
 15. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo haujaona tatizo mkuu!? kweli ccm mmechoka kuongoza nchi!
  sometimes ni ustaarabu kukaa kinywa si kushabikia kila kitu!
   
 16. a

  andrews JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  du bado uko enzi za mwaka 47?
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Safi sana mtoa mada na hongera zake huyo diwani amefanya kwa vitendo!

  Ofisi ya kijiji bendera inayotakiwa ni ya taifa siyo ya chama.
   
 18. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  mkuu msando uko right. ofisi ya serikali ya kijiji ni ya umma sio chama. km ingekuwa ni ofisi ya chama cha mapinduzi ya kijiji kweli lingekuwa ni kosa. polisi waliokuandikisha maelezo watakuja kujibu mbele ya wananchi very soon. hakuna mwanzo usio na mwisho.
   
 19. thereitis

  thereitis JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Jadili hoja usijadili mtu. Je, ni sawa bendera ya CCM au chama kingine cha siasa bendera yake kupepea/kupandishwa katika ofisi ya serikali? Haujui kuwa mfumo wa chama kimoja aka chama kushika hatuma ulipita? Kweli wewe ni kilaza
   
 20. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Hapana!!!!!!!!. Alichokifanya ni kitendo kizuri sana. Kwani katika ofisi ya Serikali ya Kijiji inapaswa kuwekwa bendera ya Taifa.

  Kumbuka tupo katika mfumo wa vyama vingi. Mambo ya Chama kusihika Hatamu yamepitwa na wakati.  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
Loading...