Ccm waanza kusambaratika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm waanza kusambaratika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jul 15, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,682
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  utaacha lini uhuni wa kulipa watu wawauwe wasio wanaccm na kwa hili hamtafanikiwa kwa kuwa watanzania hawaitaki ccm tena hata mkiua,mkichinja hata mkinunua watu wanasema imetosha wanataka kuweka watu wengine kweli kazi mnayo.wahuni ni ccm,matusi yanatoka ccm.wauwaji ni ccm na walopokaji ni ccm.poleni sana
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,814
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chemba la maji machafu limetema
   
 3. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,395
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kuna mdau alisema huku, utamsafishaje mtu aliyechafuka oil chafu kwa diesel?
   
 4. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 707
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Sahihi ni CCM Waendelea Kusambaratika kwa nguvu.
   
 5. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,267
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Iyo ilotolewa (kuua lijinga linalokubali kutumika kama spana ya kukarabati gari ya wadhalimu<wabunge wa ccm> ni adhabu kutoka kwa mwanadam. Bado ya Mungu, atakae tulia kimya kama adhabu kutoka kwa mwanadam inatosha. Laa sivyo ataiongeza muda ujao kwanzia jana. Kumbuka nyie kina NCHEMBA na HALMASHAURI ZA KI-ccm kwamba mungu hali Chapati wala hapigi breakfast. Yuko makini na anachukia uonevu.
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,652
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  Mkuu wanasambaratika tena Mara ya pili? Kwasababu Mimi nipo Huku misitu ya mabwepande nachimba kaburi Lao
   
 7. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,930
  Likes Received: 2,986
  Trophy Points: 280
  Nasubiri masaa ya maziko
   
 8. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,828
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Am very sad this Nation had lost is not the same Tanzania I used to live in for sure
   
 9. k

  kimeloki JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 1,427
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Time has come to say rip maulaji party.
   
 10. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ccm ilishakufa muda mrefu sana, tunachokiona sasa ni matokeo ya kifo chake...
   
 11. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,429
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  umenchekesha sana kugundua kuwa wazungumzia nini.
   
 12. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,392
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kazi kweli kweli.
   
 13. a

  andrews JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,682
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tumefika hapa tulipo sababu ya
  bunge la kizembe.
  Ccm ya kifisadi
  uzembe wa rais kikwete legelege
   
 14. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 634
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tunaelekea kuizika imeshakufa mda..
   
 15. k

  kasimba123 JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  CCM walimuua ilikuficha ukweli kuwa alitumiwa
   
Loading...