Tv & radio Imaan: Masheikh ndio walihusika zaidi na ukombozi wa nchi hii!

Status
Not open for further replies.

mlanguzi

Senior Member
Jul 15, 2012
181
10
Live ni kipindi cha masheikh na siasa
Wanatoa historia ndefu kuhusu waislam walivyoongoza mapambano ktk kumkomboa Mtanzania.
Wanamtaja Mwalimu Nyerere kama alikubali kufunga saumu kwa kushrikiana na masheikh.
Wanadai Mwalimu alikuwa karibu zaidi na Masheikh kuliko viongozi wa dini nyengine ktkKupigania Uhuru

Watoa maada
ni wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Waislam (MUM)
kwa kweli mengi wengine tulikuwa hatuyajui. kama ndiohistoria hii inayozungumzwa na wasomi wetu hawa. Basi mwalimu nyerere alikuwa ni mtu Pembeni kabisa ktk sakata la uhuru
Ni 104.4 Sasa hivi
 
Duhu. hitsoria ni ndefu. wengi tulikuwa hatuyajui leo tunayatambua
 
Live ni kipindi cha masheikh na siasa
Wanatoa historia ndefu kuhusu waislam walivyoongoza mapambano ktk kumkomboa Mtanzania.
Wanatamja Mwalimu Nyerere kama alikubali kufunga saumu kwa kushrikiana na masheikh.
Wanadai Mwalimu alikuwa karibu zaidi na Masheikh kuliko viongozi wa dini nyengine ktkKupigania Uhuru

Watoa maada
ni wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Waislam (MUM)
kwa kweli mengi wengine tulikuwa hatuyajui. kama ndiohistoria hii inayozungumzwa na wasomi wetu hawa. Basi mwalimu nyerere alikuwa ni mtu Pembeni kabisa ktk sakata la uhuru
Ni 104.4 Sasa hivi

Ukombozi wa nchi gani, au ukombozi wa nyumbani kwao?
 
Update: Wananukuu vitabu vilivyoandikwa na waengereza kuhsu mwalimu na kanisa. Na hili azimio la arusha nalo kumbe lilikuwa hivi?
 
wazee wa kukasfu!, nyerere alifunga swaumu! Kwa hiyo unatakaje, je hao mashekhe walikuwa na elimu ya kuongoza serikali? Au walikuwa na elimu jini pekee? Kumbe ndo maana nyerere aliwapiga bao kwa kuwa wao hawakuwa na elimu ya dunia bali walikuwa na elimu akhera ambayo huwezi kuongoza serikali ukiwa na elimu jini tu!
 
wanadai. wakati huo maaskofu walikuwa wakimpinga Nyerere na kuwaunga Mkono wakoloni
 
wazee wa kukasfu!, nyerere alifunga swaumu! Kwa hiyo unatakaje, je hao mashekhe walikuwa na elimu ya kuongoza serikali? Au walikuwa na elimu jini pekee? Kumbe ndo maana nyerere aliwapiga bao kwa kuwa wao hawakuwa na elimu ya dunia bali walikuwa na elimu akhera ambayo huwezi kuongoza serikali ukiwa na elimu jini tu!

Angalia data zinazotolewa hapo katika tv wewe mwari usiwe na mawazo ya fikra mgando. jua ya kwamba haPa ukumbini pana watu wenye akili za kuchambua mambo. jitahidi na chunga sana na mwandiko wako usije siku watakapokuja kutafutwa comedians usije kupana namba 1 ya the comedy wa jamiiforums
 
trueeee
 
...

...

Jihadharini na ile roho ya yule mwovu! inapindua uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo!!
 
Nyerere hakuwa mtu wa pembeni katika harakati za uhuru. Nyerere alikuwa central.
 
Kama walikuwepo na walikuwa na elimu iweje wao wasiwe viongozi!
Waache kudanganya wa Tanzania,
waambie waendelee na elmu jini yao ndo waliyosomea ndo maana hawakuwa viongozi!
Iweje wao kama walikuwa wamesoma wakubali Nyerere awe kiongozi wao?
Jibu ni hili

hawakuwa na elimu dunia bali elmu jini!
 
Data zipi jamani, mbona mnatukana uelewa wenu, why are you insulting your own understanding?

Mnajua maana ya data? Ni msomi gani anayeshawishika na nukuu za kitabu kimoja? Mambo mengi ni yale yale ya kila siku.
 
hata kama maelezo ni yale yale kama ambavyo mtazamo wako unakusukuma huko lakini suali la msingi ni jee maelezo hayo yanakidhi haja na yanapiga hasa pale panapotakiwa? hata maandiko ya bible ni yale yale lakini kwanini iwe kila siku yanarejewa na kuhubiriwa? ukiona mbwa anaugulia maumivu ujue jiwe limempata ndipo!
 
wazee wa kukasfu!, nyerere alifunga swaumu! Kwa hiyo unatakaje, je hao mashekhe walikuwa na elimu ya kuongoza serikali? Au walikuwa na elimu jini pekee? Kumbe ndo maana nyerere aliwapiga bao kwa kuwa wao hawakuwa na elimu ya dunia bali walikuwa na elimu akhera ambayo huwezi kuongoza serikali ukiwa na elimu jini tu!
Hivi Nyerere naye alikuwa ni msomi?.....Kivyovyote vile hakuna ikhtilaafu kuhusu uwezo wa Nyerere kuongoza nchi! uwezo wake ulikuwa zero na nchi ilimshinda.
Mtake msitake historia sahihi ya Tanzania itaandikwa upya na Nyerere atakwenda kwenye vitabu vya Historia kama mbabaishaji flani tu.
 
Live ni kipindi cha masheikh na siasa
Wanatoa historia ndefu kuhusu waislam walivyoongoza mapambano ktk kumkomboa Mtanzania.
Wanamtaja Mwalimu Nyerere kama alikubali kufunga saumu kwa kushrikiana na masheikh.
Wanadai Mwalimu alikuwa karibu zaidi na Masheikh kuliko viongozi wa dini nyengine ktkKupigania Uhuru

Watoa maada
ni wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Waislam (MUM)
kwa kweli mengi wengine tulikuwa hatuyajui. kama ndiohistoria hii inayozungumzwa na wasomi wetu hawa. Basi mwalimu nyerere alikuwa ni mtu Pembeni kabisa ktk sakata la uhuru
Ni 104.4 Sasa hivi
Ubwabwa, kashata na kahawa hoyeeeeeee!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom