Chadema washington dc yapata uongozi mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema washington dc yapata uongozi mpya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gumzo, Jul 17, 2012.

 1. G

  Gumzo JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Aliyekuwa Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Kalley Pandukizi akimkabidhi Kitabu cha Katiba na Sera za Chama Mwenyekiti mpya Ndugu Cosmas Wambura.

  Mwenyekiti mpya wa Chadema Washington, Cosmas Wambura akipeana mikono ya pongezi na Katibu mpya Ndugu Isidori Lyamuya.

  Kutoka kushoto: Katibu mpya Isidory Lyamuya, Mwenyekiti mpya Cosmas Wambura, Katibu aliyemaliza muda wake Liberatus Mwang'ombe na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Kalley Pandukizi.

  Baadhi ya wanachama wa Chadema walioshiriki zoezi la Uchaguzi la kupata Viongozi wapya wa Chadema Washington DC.
  -----
  Tawi la Chadema Washington DC limepata Viongozi wapya walioshika nafasi za waliokuwa Viongozi wa muda. Katika Uchaguzi huo Cosmas Wambura amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya kuchukua nafasi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Muda Kalley Pandukizi. KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA GUMZO LA JIJI: CHADEMA WASHINGTON DC YAPATA UONGOZI MPYA[h=3][/h][h=3][/h]​
   
 2. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongereni sana. tupo pamoja
   
 3. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,217
  Likes Received: 8,292
  Trophy Points: 280
  pongezi za dhati kwa uongozi mpya chedema tawi la washington dc.
   
 4. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nipo marekani naomba mnielekeze jinsi ya kuwasiliana na nyie tuweze kujenga chama pamoja.
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nimekutumia PM
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Jasusi wewe ni CHADEMA? Na ni founding member wa CHADEMA-DC?
   
 7. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimepata PM yake nitawasiliana naye
   
 8. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hata mimi nipm niko Pittsburgh, sasa kadi mnauza usd ngapi? Magwanda mnayo? Hebu nipe mchakato mzuri kamanda
   
 9. Kinyasi

  Kinyasi Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Nami nipo hapa New York, Naomba nielekezewe mchakato wa kujiunga.
   
 10. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jasusi kanitumia PM namba ya ndugu aliye washinton dc nitawasiliana naye
  Ila jasusi anaweza kuwatumia pia.
  Pamoja tunaweza
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nawatumieni wote simu ya Libe ili muwasiliane naye na kujua jinsi ya kupata kadi. Ndiyo, kadi zipo na zinapatikana kwa dola kumi. Simu ni 240 423 3331.
   
 12. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nyani, wewe unaonaje? I am sure not CCM!
   
 13. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Being against CCM does not necessarily mean being pro-CHADEMA; am I correct?
   
 14. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Mimi sitaki kadi wala sitaki kuwa mwanachama wa CHADEMA (au chama chochote kile) kusudi niendelee kuwa unbiased katika kuwapiga madongo wakiboronga, ila ninataka gwanda lao tu kwa sababu ya fashion yake. Je nitalipataje? ninalizimia sana gwanda lile.
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  acha uhuni wewe... hahahaaa, HAKUNA PENZI NUSU AISEE
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,489
  Likes Received: 81,786
  Trophy Points: 280

  Haya bana Mkuu Kichuguu Gwanda likishakupendeza :) utakuwa umeshakula ng'ombe mzima na kubakisha mkia tu ambao sidhani kama mkia utakushinda :)...Karibu sana chamani Mkuu.
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hongereni sana makamanda..
   
Loading...