Je, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba ni mwiba mkali kwa vyama vya siasa au ni kansa inayoimaliza CCM .

Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
6,808
6,500
​​​​Nimejalibu kufuatilia threads na post nyingi humu janvini, pale threads inapohusu CCM, ni majina haya mawili ya wana CCM ambayo wanajanvi wengi kwa kiasi kikubwa wanayasema sana. kwa upande mmoja wakiyaponda na upande mwingine ukiyapongeza.
Na katika ulingo wa siasa, ukiona mwanasiasa anasemwa sana na jamii, lazima kuna jambo ama zuri au baya analolifanya katika jamii.

Pamoja na CCM kujigamba mara kwa mara kama ni chama kikubwa lakini inaonekana kwa kiwango kikubwa haya majina ndiyo yanayohusiswa sana na shughuli za CCM mpaka inaonekana kama vile CCM haina mtendaji mkuu(katibu mkuu) na watendaji wengine katika sekretarieti za CCM.
​
Wanajanvi,
Is Nape Nnauye and Mwigulu Nchemba a threat to other political party or posioned chalice to CCM.

Tujadili kwa hekima na busara.
 
majembe ya chama tawala mkuu...unadhani kilichowapeleka cdm singida ni nini?...wanajaribu kuondoa sumu za mwigulu...humu jamvini kila kukicha napee napeee....chama hakina mtendaji mkuu...viongozi wote ni watendaji wa chama.....nape anafanya kazi aliyopewa ya kukuna kipele...
 
They are mentioned all the time simply because They are the weakest one in that ground,and the weakest ones in the room are the NOISE one.
 
Wote wako makini sana hawa vijana nashukuru namna wanavyopambana na chadema, sisi C C M tungepata mzee makamba akawa mkabala na Mzee Mukama wakashirikiana na hawa vijana makini wawili(Nape na Mwigulu) tungeshawamaliza kabisa Chadema. Hawa vijana wanapeleka chama chetu cha CCM vizuri sana
 
Nape ndiye kiongozi wa magamba PEKEE mwenye energy ya ku-fight na CHADEMA!! Utagundua kuwa si Mwenyekiti wala Katibu Mkuu anajiingiza katika mikutano ya Magamba na badala yake tumeona mawaziri na manaibu wao wakivaa mavazi ya MAGAMBA!

Nchemba ameingilia mlango wa Bunge kupambana na CHADEMA na ni hapa watu wanaona upuuzi mwingi kutoka kwake. Hoja za Nchemba zimekuwa na substance ndogo kuliko chuki kwa CHADEMA. Sioni political scores za Magamba zikizizidi CHADEMA kwani ndipo wengi tunasikia budgets zikipitishwa asilimia 100% halafu na mapungufu au udhaifu ukitajwa tele! Ndiko huko upendeleo wa kiti cha Spika na Wenyeviti ukionekana lakini pia ndiko huko neno maarufu sana sasa "DHAIFU" lilipoanzia, Kuvunjwa kwa Katiba ya JMT kulipotafsiriwa kwa lugha nyepesi na KU, ndiko huko Manyanya aliposema CHADEMA wamemteka Dr. Uli na ikaja kuwa si kweli. Kwa ujumla Magamba wanaomba Bunge liishe haraka ili mambo yasiharibike zaidi.

Nionavyo, Nape ana faida kwa Magamba (hata kama hajafikia kiwango cha kuwa mwiba) na Nchemba ni poisoned chalice.
 
Mwigulu/Nape wanatumwa na WASIRA we unategemea atapona mtu hapo. Yaani hawa jamaa badala ya kuzima moto kwa kutumia maji wao wanatumia mafuta ya taa.
 
majembe ya chama tawala mkuu...unadhani kilichowapeleka cdm singida ni nini?...wanajaribu kuondoa sumu za mwigulu...humu jamvini kila kukicha napee napeee....chama hakina mtendaji mkuu...viongozi wote ni watendaji wa chama.....nape anafanya kazi aliyopewa ya kukuna kipele...
haya jamaa wamemfunika katibu mkuu wachama wamekiacha chama hakina mwelekeo tena, ukweli ni kuwa wanakiharibu chama mkuu, kunahaja ya wakubwa kuingilia kati!
 
kwa mtazamo wangu napenda sana ccm inavyomtumia hasa nape na mwigulu kwani wanakiua chama vizuri na wanapandisha chadema kiulaini kweli hili litaoneka kuanzia 2014 wait an see
​​​​nimejalibu kufuatilia threads na post nyingi humu janvini, pale threads inapohusu ccm, ni majina haya mawili ya wana ccm ambayo wanajanvi wengi kwa kiasi kikubwa wanayasema sana. Kwa upande mmoja wakiyaponda na upande mwingine ukiyapongeza.
Na katika ulingo wa siasa, ukiona mwanasiasa anasemwa sana na jamii, lazima kuna jambo ama zuri au baya analolifanya katika jamii.

Pamoja na ccm kujigamba mara kwa mara kama ni chama kikubwa lakini inaonekana kwa kiwango kikubwa haya majina ndiyo yanayohusiswa sana na shughuli za ccm mpaka inaonekana kama vile ccm haina mtendaji mkuu(katibu mkuu) na watendaji wengine katika sekretarieti za ccm.
​
wanajanvi,
is nape nnauye and mwigulu nchemba a threat to other political party or posioned chalice to ccm.

Tujadili kwa hekima na busara.
 
majembe ya chama tawala mkuu...unadhani kilichowapeleka cdm singida ni nini?...wanajaribu kuondoa sumu za mwigulu...humu jamvini kila kukicha napee napeee....chama hakina mtendaji mkuu...viongozi wote ni watendaji wa chama.....nape anafanya kazi aliyopewa ya kukuna kipele...
Mie navyojua jembe linatumika kwa pipoz labda hawa tuwaite mapanga ya Chama kinachokufa au maarufu Chama Cha M abwepande.
 
Nap Nnauye na Mwigulu ni matokeo ya siasa za ndani ya chama.Na kwa mwelewa atawachambua hawa kama sehemu ya mfumo na si kama individuals kwani mengi wanaagizwa au kufanya kwa lengo la kutekeleza mikakati ya chama chao
 
Hawa watu, ni sifuri, unajua vyeo vya kupewa halafu haupo competent, ni mtu wa kulazimisha mabo lazima utaumia tu. na hao soon wataumia na kuwaumiza wenzao!
 
Back
Top Bottom