Hi ma GT,
Nimejaribua kufatilia majina ya watu wanaopata viwanja vya kupimwa wengi wanaopata wanakua ni viongozi wa CCM au watu wanaonuafahika na CCM,sample niliyokuja nayo ni ya Gezaulole 1800...
hiki kibonzo kimenifurahisha sana,kinaoyesha jinsi gani wabunge wengi wa chama tawala walivyo wanafiki wachangiapo mijadala ya bajeti bungeni...
SOURCE:katuni majira.
Haya ndo matokeo ya kuhodhi kila nafasi ya kazi ipitie tume ya ajira utumishi. Ni kuanzia mhudumu hadi profesa!
Hivi karibuni baada ya utumishi kutangaza nafasi za kazi za aina hii, wengi...
Siyo niya yangu kurudisha mjadala uliowahi kuchemka kwa nguvu hapa JF. Najaribu kuonyesha kumbukumbu tuliyonayo.
Najiuliza jinsi siasa inavyo vuka mipaka yote ya sheria na utu hapa Tz. Ni wiki...
Ni Faustine Ndugulie mbunge wa Kigamboni. Tulizoea kuona wa CHADEMA tu lakini leo tunamuona na wa CCM.
Nimewahi kuwalletea thread maana nimekikuta hicho kitendo ignawa mwanzo wake sikuwepo kwenye...
Tume ya ajira ya utumishi is another lost hell,ni chimbo jingine ambapo chama cha magamba walianzisha ili binamu zao,shangazi zao,wifi zao,hawala zao wapate sehemu ya kujichotea fedha za...
ANZA WEWE!!!!!
Wajameni, siku za hivi karibuni serikali kupitia jeshi lake la polisi imeanzisha slogan ya kuwahimiza wananchi juu ya kutii sheria za nchi bila kushurutishwa. Kwa kufikiri kwangu...
Ndugu watanzania wenzangu kwa muda wa wiki takribani mbili nimekuwa nikisikia bungeni kuwa kuna meza imevunjika inayokaliwa na mheshimiwa mmoja, sitaki kupingana na meza kuvunjika kwani uwezekano...
Jamani ingekuwa vipi kama maneno yangekatazwa kutumika kwenye report na hotuba za viongozi wetu;
Mchakato umeanza....
Wataalamu wetu wameshaupitia..
Hatua za awali zimeshafanyika..
Jazia...
Can we afford to sack all these medics?
BY EDITOR
15th July 2012
In our last weeks edition of The Guardian on Sunday, we published a lead story detailing how expensive it is to train a single...
Jana nimekutana na kijitabu kidogo cha kijani kwenye maktaba ya baba yangu. Kitabu hicho kimeandikwa "MUONGOZO WA CCM" ambacho kilichapwa mwaka 1981, na Printpak.
Wakati nakipitishia macho...
Can we afford to sack all these medics?
BY EDITOR
15th July 2012
In our last weeks edition of The Guardian on Sunday, we published a lead story detailing how expensive it is to train a single...
Wakuu heshima kwenu,leo bungeni wakati wa mtanange kati ka hotuba ya kambi ya upinzani na serekali nilimshudia Werema akiongea na sipika huku ameweka mkono mfukoni,nataka nipate ufafanuzi kama ni...
Hatimaye aliyekua mkuu wa shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Arudishwa kazini. habari ni uhakika kutoka kikao kinachoendelea kati ya PAC, WIZARA NA BODI YA TANESCO. seems huyu Eng alihujumiwa...
Mimi napata taabu sana, na leo niwe mkweli kwenu wote wanajf, sikupendezwa kabisa na kuingiliwa kwa hotuba ya upinzani rasmi Bungeni kwa hoja ya kuingilia mwenendo wa kesi zilizoko mahakamani...
na Mwandishi wetu
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema kuwa wamebaini mpango wa makusudi unaofanywa na Chama cha Mapinduzi (CCM) ndani...
mods niko ndago msifute ni kweli.
wabunge wa chadema walifika saa
8.30 mchana huu lakini fujo na kuendelea kati ya mashabiki wa ccm na chadema watu wawili nimeona wamekufa na wengine kujeruhiwa...
Nimesoma just now toka blog ya *************** kuwa amekamatwa kwa mauaji yaliyotekea juzi hapo Singida, hii ni baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari
Leo kamanda. wa police wa Dar es salaam Amevieleza vyombo vya habari kuwa alie mkamata ndie mtuhumiwa na alikuwa Kwenye ibada ya three 13/07 2012. hivyo sijui mchungaji kasema nn!, amesha pelekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.