Lusinde na Mwita Waitara Nani Zaidi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lusinde na Mwita Waitara Nani Zaidi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchaka Mchaka, Jul 16, 2012.

 1. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  KWA MUJIBU WA POLISI WAITARA ALISEMA HIVI:
  Mwigulu Nchemba(Mb) ni malaya, mzinzi na mpumbavu..Jeshi la polisi likachukua hatua na kumpandisha kizimbani.


  NA :
  Lusinde(MB) alisema yafuatayo katika mkutano wa hadhara , na hakuwahi kuchukuliwa hatua zozote na jeshi letu la Polisi:

  Mh mwenyekiti wa chama, waheshimiwa viongozi wenzangu na wanachama wenzangu, nataka nianze kutofautiana hapahapa jukwaani na wenzangu, habari ya sisi kutukanwa halafu tunasema sisi hatutukani hatufanyi kazi ya kanisa hapa, kudadadeeeki matusi yakija nitatukana hoja zikija nitasema, potelea mbali

  CCM oyeeeee.......oyeeee!

  Niseme nisiseme.....semaaaaaa!

  Unajua kuna wabunge wa chadema maji marefu unawalea sana, wewe ndio uliowachanja chale mpaka matakoni leo wanakutukana, nataka niwaambieni wenzetu wanajifanya wanajua kutukana hapa mwisho! ndio maana nimekuja kuwapasha kwamba hoja nyingine za kipuuzi wanazozisema chadema wanajitukana mpaka wao wenyewe, kuja kusema hapa kwamba mgombea wa ccm katoboa sikio kwa hiyo ni shoga maana yake na baba yake slaa nae ni shoga maana nae katoboa sikio kudadadeeeki CCM oyeeee....oyeeeee


  Nataka niwaambie ndugu zangu msindanywe, msidanganywe na rangi utamu wa chai sukari, wale waliojazana katika chadema wote karibu nusu baba zao wametoboa masikio kwa hiyo na wao mashoga? Niwaambie nisiwaambie. . . .waambie! mbunge wa arusha mjini juzi alikua mahabusu na si tunajua kule mahabusu alifanywa nini, lakini hatutaki kusema

  tuwalambe tusiwalambe.....walambeee!

  Ndungu zangu nataka niwaambieni kwa habari ya lugha chafu wote sisi tunazo wala msifikiri hatujui sisi hatuna, tunajua Lema alikua mahabusu amepata bwana kule tunajua, na kuna wanaume wengine wameolewa sisi tunawafahamu, nataka kuwasihi sana, kwenye uchaguzi, kwenye uchaguzi tunajenga hoja za msingi lakini wakileta maneno ya honyo na hapa yapo, kudadadeeeki

  nataka niwasihi sana, hakuna mtu asiye na makosa duniani, leo dr slaa anapita kuwasema wenzake wakati yeye upadri ulimshinda kanisa likamfukuza kwa kutia mimba wanakwaya

  Sioi oyeeee! Oyeeee!

  Mi nawafahamu wale, unajua tukiendelea kuwachekea hivi tukiendelea kuwambeleza hivi itafika mahali watatuchokoa machoni bora tule nao sahani moja, kuna bwe.ge mwingine yuko mle, kuna bweg.e mwingine yuko mle anajiita campain manager wa chadema, ukoo wa nyerere, baba yake mzazi wa nyerere akiitwa buhito alikua akitoboa masikio, alikua shoga? anajitukana mpaka mwenyewe kwa sababu ya akili mbovu, kutoboa masikio sio ushoga, masai wanatoboa, wagogo wanatoboa, wameru zamani walikua wanatoboa, wa-wakurya wanatoboa, wakamba wanatoboa, ye hajui historia anakuja hapa (huku kabana pua) ng'wee ng'wee ng'weeee, mbona ye ameliwa si hatusemi

  ccm oyeee, oyeeeee
  wanaokipenda chama mikono juuu!

  (sauti ya kike kwa mbaali inasikika - wamekwisha!)

  subiri niwaambie, hoja zinazojengwa hapa ni hoja za kipumbavu, kuna watu wanakuja kujenga hoja ya kitoto, kwamba msimchague sioi kwa sababu alizaliwa kenya, sio raia wa tanzania, mtu akizaliwa kwenye ndege anakua raia wa nchi gani? Acheni ushamba nyie, Suala la mtu kuzaliwa na suala na uraia ni vitu viwili tofauti, uchungu unapompata mwanamke anazalia hapohapo hawezi kusubiri, kuna wengine wamezaliwa kwenye mabasi mbona hatuwaiti raia wa basi, washamba wakubwa nyie, hiyo mnaona ni hoja ya kupita mnazungumza, halafu nyingine wanapita wamebana pua, msimchague sioi kwa sababu baba yake alikua mbunge, baba yake atarudi lini? Baba yake anarudi?

  Ngojeni niwaeleze, na bahati nzuri najua walipo ntakua napiga hapa afu napiga palepale, kudadadeeeki . . .

  PART TWO COMING SOON!

  Muendelezo huu hapa

  CCM oyeee .....oyeeeee!
  Msikubali kudanganywa ndugu zangu maswala ya mtoto kufata kazi ya baba yake, katika tanzania ni kitu cha kawaida, tunao wanajeshi na watoto zao wanajeshi uongo kweli?....kweliiiiii! tunao madereva na watoto wao madereva uongo kweli?.....kweliiii, tunao wapiga debe na watoto zao wapiga debe uongo kweli . . . kweliiii! kuna ajabu gani kwa sioi piga makofi kwake.

  Niwaulize nisiwaulize.....ulizaaaaaaa! Marehemu sumari angekua daktari na mtoto wake daktari CHADEMA wangegoma kunywa dawa (sauti ya kimbea kwa mbali inajibu . . . . wathubutu!), washamba nyie!

  ccm oyee. . . oyeeee! Niwalambe nisiwalambe. . . . walambeee!

  Ndio maana tunataka tuwaambie chama cha mapinduzi ndiyo chenye makamanda wa ukweli sio nyie makamanda feki, Jakaya Kikwete mwenyekiti wa ccm kazi yake zamani alikua mwanajeshi uongo kweli?..... kweliiii, kapteni komba alikua mwanajeshi uongo kweli? .......kweliiii! lakini wanavaa nguo za kijani halafu washamba ambao hata mgambo hawajapita wanavaa makombati.

  ccm oyeee.....oyeeee!
  Halafu katika washamba hakuna mshamba kama dokta slaa, anavaa kombati kuuubwa akitembea kama kajinyea vile (anapata shangwe kutoka kwa wanaomsikiliza, sorry to say this hapa hata mke wangu alicheka, nikamtazama kwa hasira hadi akaogopa!)

  Nipige Nisipigeee?.........Pigaaaaaaa aaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii?............ .......Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota na rangi ganiiiiiiiiiiiii?............K ijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mpunga unaota na rangi ganiiiiiiiiiiiiii?............ .Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
  Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?............... ............Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa chama cha mapinduzi.

  Nataka niwaambie kama CHADEMA, kama viongozi wa CHADEMA ni vichaa wa kurogwa, mie ni kichaa wa kuzaliwa, kudadadeeeki! tarehe moja, dk slaa juzi, (anaguna) yaani katika watu washamba nimewashangaa dk slaa, anakakaa kwenye tv anasema eti ''ooooh hapa isipochaguliwa chadema patachimbika'' kama ni fujo itaanzia arumeru, kwa nini isingeanzia kwa mke wake? Ngoja niwaambie ndugu zangu, alichokua anakisema slaa, alichokua anatutishia vita slaa mimi namwambia anatishia kujamba wakati anaharisha.

  ccm oyeee....oyeeee!. wangapi mtampa kura kura sioi, mikono juu....(watu wananyanyua mikono), hatufanyi kazi ya kanisa hapa! hapa tumekuja kuwaambia kwa suala la kutishana hakuna mtu anayeogopa, wote si tumeaga na nataka niwaambie slaa yule anavimba macho ya watu, lakini kama slaa ana ubavu nipeni mi tuweke ulingo hapa, ngumi moja naua yule, nikikusanya yule nipige mkono mmoja mnakuja kuokota yule, akiona watu wamejaa (anabana pua) ng'weng'weng'wee ng'weng'weng'wee upadri umemshinda ataweza serikali? thubutuu!

  Nataka niwaambie, ndugu zangu wa arumeru, suala la uchaguzi mdogo sio suala la kudanganywa, wanakuja CDM hapa wanakudanganyeni, kwamba watapora mashamba ya wazungu wawagawieni, muasisi wa chama cha CDM ndugu mtei ana shamba hapa heka 700 mbona hawampori wawagawie? wangeanza kwanza la mtei, sio kuwadanganya wananchi, kama wanawapenda kweli wa meru wamwambie mzee mtei chukua shamba lako rudisha kwa watu wa meru(sauti ile ya kike. . . hatudanganyiki)

  ccm oyeee.....oyeeee!
  Niwachane nisiwachane?......wachaneee!

  Vijana wenzangu, CDM inawapa pesa za kunywa viroba, mnalewa viroba na bangi mnazomea wazee wenu, halafu wenzenu wanapita na helikopta wanawaona machizi

  niseme nisiseme.....semaaa!

  Kokote duniani askari wanaoteka nchi ni askari wa miguu wacha wao waruke juu si tunateka nchi, wao wanaruka na helicopter si tunachukua jimbo asubuhi, kudadadeeki, mnakuja mnadanganywa hapa eti ooh chadema, sijui ooh nasari ataleta ajira na soko, ajira atazitoa wapi? Watu hawana shukrani anasimama hapa dk slaa anatukana ccm, hawajafanya kitu, hawajafanya kitu, shule alizosoma yeye zimejengwa na baba yake? shule zimejengwa na serikali ya chama cha mapinduzi, watu wanajiita wamesoma chuo kikuu (chuo hicho) kimejengwa na serikali ya chama cha mapinduzi, nionesheni hapa chuo walichojenga CDM. . . hakunaaa!

  ccm oyeee....oyeeee!

  Wanatuletea sera ya jogoo, nataka mkatae sera ya CDM ni sera ya jogoo, Jogoo katika makuku maongo hakuna kama jogoo, Jogoo linapokua linamtaka kuku mwenzake linadanganya linamwambia nitakushonea gauni reeefu mpaka huku (anainama huku akizunguka kuonyesha mfano wa jogoo, watu wanalipuka kwa kicheko)

  Niseme nisiseme. . . .semaaaa!

  Kataeni uongo wa jogoo, linaahidi kushona gauni refu wakati lenyewe likiinama hata chupi halina, waongo wakubwa tunawajua, na hivyo viroba mnavyokunywa vijana, viroba mnavyokunywa vijana mwisho tarehe moja, wataondoka watakuacheni mmetukana wazee wenu, mmewapiga mawe wazee wenu, na mimi nataka niwaambie vijana wa CDM utaonekana kichaa ukionekana unazomea rangi ya kijani maana utakuta mti una rangi gani....kijani! unaanza uhuuuu watu wanasema huyu chizi, mchezaji aliyeumia ni mchezaji wa timu ya ccm tunaweka mchezaji wa ccm, suruali yangu nyeusi imetoboka siwezi kuweka kiraka cheupe kama nina akili nzuri, inabidi niweke cha rangi gani? Kijaniii! Hata hilo mnataka mtu atoke dodoma kuja kuwaambia? Kama huoni kwa macho papasa kwa mkono utapa majibu.

  CCM oyeeeee.....oyeeeee!
  Niwaambie nisiwaambie hawa.....waambie!...ngoja niwaambie watu wa CDM nyie

  nikakutana na kijana mmoja akanichekesha sana, ananiambia mwanaume mzima, basi kati ya watu ambao hawajui kiswahili mbowe hajui kiswahili, mbowe anasimama anasema nina uchungu mkubwa, bibilia inasema hivi wanawake mtazaa kwa uchungu, wanaume watakula kwa jasho uongo kweli...kweliiii! kama mbowe anauchungu ana mimba?....vicheko

  ccm oyeeee.....oyeeee!

  Nataka niwaambie, kipindi hiki ni kipindi cha lala salama, ukiona mtu anasikia kichefufu, ukiona mtu anatema mate, ukimuona mtu anaichukia ccm ujue tayari tumeshamtia mimba, ndio maana unawaona saa hizi wanapiga kelele, unaona kina slaa wanapiga kilele, wameshapigwa mimba, mbowe pigwa mimba, nasari pigwa mimba....mayoweee

  Tarehe moja wanaenda kujifungua mtoto anaitwa sioi, piga makofii. Kichefuchefu chote kitawaisha utawaona ooh tulikua pamoja tulikua pamoja kudadadeeki.

  Niwachane nisiwachane?.....wachane!

  we ukiona unapita mwanaccm humsemeshi mtu anakufanyia hivi (anaonesha V, ishara ya CDM) ujue ana mimba ya mapacha, mnunulie udongo, mnunulie maembe mabovu, mnunulie vitu vya uchachu tarehe moja anajifungua sioi anakwenda bungeni na wao mimba wanazaa hapohapo.

  Tuwapime wenye mimba tusiwapime....tuwapimeeee
  Tuwapime wenye mimba tusiwapime....tuwapimeeee

  nitakuuliza swali, nitakuuliza swali, atakaempigia kura sioi anyoshe mkono kama hakunyosha jua ana mimba

  CCM oyeeee....oyeeee!

  MY TAKE: HAKI IKO WAPI SASA?
   
 2. Vijijini Lawama

  Vijijini Lawama JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Time will tell mkuu japo hatutaki kuishi kwa visasi!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. U

  Uswe JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  we mchaka mchaka mbona hujanipa hata credit kwa kutype hiyo ya lusinde :)
   
 4. n

  ngararumu JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 470
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Huo ni Mtaji kwa CDM wa kuchukuwa jimbo la Mtera kilainiiiii, wagogo hawapendi kabisa watu wenye domo kaya kama huyo jamaa.
   
 5. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Waitara is an opinion maker while Lusinde is a noise maker
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Kweli nchi hii hatuna viongozi!
   
 7. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tumshtaki Lusinde
   
 8. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Aibu kwa polisi na Rais JK PAMOJA NA CCM.
   
 9. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Nashindwa kuamini kama kuna wananchi wanaoweza kumchagua mtu kama huyu akawawakilishe bungeni....
   
 10. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli hapo hamna haki kabisa. lusinge alikuwa anatukana matus ya nguoni kabisa. lakini hakuna aliye sema neno.
  Ila wanaarumeru walimjibu kwa vitendo. najua watanzania wataijibu ccm kwavitendo 2015.
   
 11. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  CCM wana leseni ya matusi,
  ninyi CDM mnayo?

  CCM wana baraka za CC ya CCM,
  Kutoa matusi ya nguoni hadharani,
  Ninyi wa CDM mna baraka hiyo?

  CCM wako juu ya sheria,
  ninyi CDM mko juu ya sheria?

  CCM wana serikali,
  Ninyi CDM mnayo?

  Patent ya matusi ni mali ya CCM,
  CDM,Kabla ya kutukana tusi lolote,
  Ombeni ruksa kwa wenye patent.

  CDM mkitukana bila ruksa,
  Mnaviolet patent,
  mtafikishwa mahakamani.

  CCM ndiyo wamiliki halali wa haki zote za matusi, na matusi ya nguoni Tanzania.
   
 12. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mimi nawaonea huruma sana hawa Polisi ninaamini hata wao hawapendi kufanya hayo wanayoyafanya ni njaa tu na kujipendekeza kwa viongozi wa chama waliowaweka hapo walipo, hivi katika mazingira ya kawaida unaweza ukategemea mtu huru anaweza kufanya mambo anayo fanya Kova?

  Kuna vitu viwili hapa Kova akienda tofauti na matakwa ya viongozi kwanza anaweza kupoteza nafasi yake alafu pili anaweza kuuawa maana watu wanaotofautiana na Serikali hawaishii hivi hivi.

  Kwa hiyo ameamua akubali kutumika tuu kama mpira wa kiume ili familia yake iendelee kuishi na kusoma vema
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kesi ya kijinga kabisa. Polisi wetu wanasukumwa na wanasiasa hadi kazi zao zinakwenda ndivyo sivyo. Wanaaibika kwa faida ya wanasiasa na hawana la kufanya.
   
Loading...