Matokeo ya uchaguzi mbeya mjini

aspen

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
501
165
Ni ujumbe serikali za mitaa
Nafasi ni 25
CCM imeshinda nafasi 17
CDM ineshinda nafasi 8

Source malecela blog
 
Mimi nimeileta kama source ilivyonihabarisha ngoja tusubiri wana mbeya waje wenyewe
 
wote wanaoleta taarifa za uongo hapa wabigwe ban! mods vipi tena nyie??
 
ni ujumbe serikali za mitaa
nafasi ni 25
ccm imeshinda nafasi 17
cdm ineshinda nafasi 8

source malecela blog

kama nikweli si haba lakini, ongera zenu watu wa mbeya kwa kuendelea kuyaamini mafisadi, natumai bado hamjajitambua nyie ni nani katika mustakabali wa maendeleo ya vizazi vyenu ktk nchi hii
 
Ni ujumbe serikali za mitaa
Nafasi ni 25
CCM imeshinda nafasi 17
CDM ineshinda nafasi 8

Source malecela blog
USIDANGANYE UMMA NAHIYO BLOG YENU
HIVI ILEMI, MTAA WA BANK ILOLO KULIKUWA UCHAGUZI WAWAJUMBE AU BADO HAMJUI KUTOFAUTISHA KATI YA HAWA VIONGOZI matokeo ni haya yaliyo sababisha watu wasililae leo kwa furaha kubwa

ILEMI - CHADEMA pamoja na mjumbe nafasi moja
ILOLO - CCM
MWANJELWA MTAA WA BANK - CHADEMA
MWANSEKWA- CHADEMA
SINDE - CHADEM
MWANSANGA - CHADEMA
KAGERA - CHADEMA (mjumbe wa serikali ya mtaa)


CHADEMA mwendo mdundo
 
hebua acheni kutumix hapa......
Tuwekeeni majina ya mitaa 25, 17ambayo ccm imeshinda na ,mitaa 8 ambayo cdm imeshinda...
 
Hivi katiba ya JF inasemaje kuhusu kudanganya? Samahani kwa kuuliza, Invisible uko wapi? Maana hawa jamaa wanatudanganya
 
Malecela blogu ndiyo mdudu gani ???

Hizi ndiyo zile jitihada za kujitangaza au ? watu wanawajua akina Mwale na wengine including marehemu.. hii mitu mingine noo !!
Mimi nimeileta kama source ilivyonihabarisha ngoja tusubiri wana mbeya waje wenyewe
 
Ninachujua hilo haliwezekani mbeya! hata hivyo 8 vya ccm itakuwa vimechakachuliwa! Haiwezekani! Mby ni ngome kuu ya cdm
 
jamani matokeo ya uhakika ni nyapi ? tunaomba taarifa zenu wadau
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom