Na Asha Bani
MKUTANO mkubwa wa hadhara uliokuwa ufanywe na Chama cha Wananchi (CUF) katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam kesho, umeahirishwa kutokana mkutano wa kimataifa wa...
NI kwamba Lukuvi anasema msemaji mkuu wa wizara ya Mambo ya ndani haruhusiwi kusema chochote kilichopo mahakamani kwa kuwa itakuwa ni kuingilia uhuru wa mahakama lakini tundulisuu ana wengine wa...
POLICE mmoja juzi tar 15, aliniambia kuna mpango wa kuhakikisha yule MKENYA anapelekwa mahakamani haraka iwezekanavyo bila kujali uhalali wa mtuhumiwa huyo. huu ni mpango maalumu wa kuzuia jambo...
Yametokea mengi sana kwenye siasa za CCM na CHADEMA!
Na yafuatayo ni baadhi ya niliyoweza kujifunza.
1) wabunge wa vyama vyote vya siasa ndani ya bunge plus AG, 95% they talk about their...
Kufuatia mgomo wa madaktari wa hivi majuzi pamoja na uamuzi wa kuwafutia leseni baadhi ya madaktari waliogoma, wimbi la madaktari wameamua kukimbia nchi na kwenda kufanya kazi nje ya nchi...Habari...
Wakubwa,
Katika mahojiano niliyoyasikia kupitia Kituo cha ITV Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Uhusiano wa Kimataifa Mhe. Membe alieleza pamoja na mambo mengine kusikitishwa kwake na namna...
Leo nipo wilayani kilosa mkoa wa morogoro katika kijiji cha ruaha. Nimeshudia mbio za mwenge zikipita na msafara wa magari yasopungua therathini du!
Nilishtuka kidogo kuona kitu kinachowezeka...
Jana Ndg Mwita Mwikabwe (Chadema) amepandishwa kizimbani huko Singida akikabiliwa na tuhuma za kumtukana Mwigulu Nchemba (CCM).
Nikakumbuka kisa cha Lusinde aliyesimama hadharani na ikawa...
Wana JF,
Inasikitisha sana kuona watu wanaoiba fedha nyingi ambazo ni kodi za umma hawachukuliwi hatua stahili.
Sakata la wizi wa hela za safari za raisi sasa linaonekana kupoa na kuwa kimya...
Binafsi nimeshtushwa na taarifa ya Chadema kuwa vijana wanaodaiwa ni CCM walikuwa wanarusha mawe katika mkutano wa Chadema bila polisi kuchukua hatua yeyote. Taarifa zinadai kwamba baada ya...
Mimi najiuliza hivi Watanazania tumefikia hatua hata ya kutomwogopa Mungu kiasi sasa kuua watu kwa manufa ya kisiasa ni jambo la kawaida kabisa. Hivi ndugu zetu wa CCM madaraka ya damu...
Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 11 July 2012
ULIMBOKA ni neno la Kinyakyusa lenye maana ya Mungu uniponye. Neno hilo ndilo linatumika kama jina na ukoo wa Dk. Steven.
Mtu akiwa kwenye...
Viongozi wa serikali, vyama vya siasa, wananchi, wanachama wa vyama mbalimbali kila mmoja amebaki anaduwaa na kila mmoja analaani kilichotokea Ndago.
Sio mara ya Kwanza mauaji na kuumizwa kwa...
Kutokana na tukio lililotokea kwenye jimbo la Iramba Kwa Mwingulu Nchemba kwa mkutano wa CHADEMA kuvamiwa na kikundi cha kihuni cha Mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba na kufanya vurugu zilizopelekea...
Na Kondo Tutindaga - Imechapwa 11 July 2012 MGOMO wa madaktari unaendelea kwa sura tofauti. Kila siku unachukua sura mpya na msokoto wake unazidi kuwa mgumu, huku serikali ikionekana kutokuwa na...
Naomba mnijibu jamani, kwa nini hawa madaktari wantumia uhai wetu kuomba nyongeza ya mshahara
Kwani wao ni bora kukliko hawa wafuatao
POLISI
WANAJESHI
WALIMU Nk
Daktari alipwe shs 10,000,000...
WanaJF salaam aleiqum
Nimekaa nikafanya taftishi ndogo tu nikagundua kuwa ili mabadiliko yatokee, lazima uwepo mtafaruku hapa Tanzania, tena mkubwa, kupindukia ule wa Libya. Kama watu wa Libya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.