Rich Land ni kampuni ya nani ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rich Land ni kampuni ya nani ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Jul 16, 2012.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wakuu nimeambiwa kampuni ya Tanzanite one imesha kufa rasmi na imekuja Rich Land amabyo kuna mtoto wa mkuu mkoja ana hisa 40 humo sasa nauliza inakuwaje wanajigeuza tena badala waendelee baada ya kuachiwa miaka 5 ? Naomba kujua hivi nani ni Rich Land ?Wewe wamjua ?
   
 2. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,718
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  funguka mkuu...

  ulitaka kusema ni ya nani..Rich wa Monduli siyo????:gossip:
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mbona hii watu wanasema ni ya Ridhwani Kikwete na yeye bado hajasuta? Tanzanite one muda wake umemalizika na ndio wamechipukia na hii wazo la kuwashirikisha watoto na watawala wetu katika ubia ili waendelee kuuza tanzanite zetu. Upo hapo?
   
 4. T

  Topical JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jasusi

  Acha JKmophobia..

  Ridhwan hana huo uwezo wala muda
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Topical,'
  Ukweli utajulikana tu. Hata mimi sikuamini niliposikia mara ya kwanza kuwa Mkapa alifanya biashara akiwa Ikulu.
   
Loading...