Politics of investment in large scale agricultural ventures
Tanzania has always been a country on the spotlight over cases of land grabbing for various uses. Over the recent past there has been a...
- Habari za muda mchache uliopita kutoka Addis, Ethiopia ni kwamba leo AU imetundika picha za Mashujaa wa Africa katika kuta za kumbi zake, lakini hakuna picha za Mwalimu Nyerere, Dr. Kaunda!
-...
Hii sakata naona haitaki kuisha, i really dont know how low we as Tanzanians can fall, lakini haki ya mungu bongo kila kitu ni dili tu. Naomba watu wenye info on the ground watu-update basi, yaani...
Napenda watz wenzangu niwaulize maanake mm sijui "ivi kama mtihani wako umeshaujua na majibu umeshapangiwa utakua unaweza kuwajibika unavotakiwa kwa jitihada zako? Iv watz tukiendlea na utratibu...
leo hii tar 15. 07. 2012 kumefanyika chaguzi za serikali za mitaa hapa jiji Mbeya ili kuziba nafasi za wenyeviti na wajumbe walio hamia CHADEMA / Kufariki dunia
jumla kulikuwa na chaguzi 7...
polisi wamezuia mkutano wa mbunge na wananchi wa kigamboni ambao alitaka kutoa ufafanuzi wa mradi wa mji mpya.ulikuwa ufanyike leo hapa machava.inshort wananchi wanachoshwa na ubabe wa...
Samahani wana JF sikujitambulisha mimi ni myahudi naittwa EBA na baba ni pure myahudi anaitwa EBAN , mama ni mgogo wa kijiji cha Sejeli Kongwa.
Mheshiwa NDUGAI mbunge wa Kongwa, naibu spika...
Jamaa alimkuta ulimboka akiwa hoi saa 12 asubuhi kwenye msitu mnene akaanza kumsaidia akiwa ametapakaa damu na alikuwa hamjui. Huyu ahojiwe vizuri anajua mpango mzima.
Leo jioni ktk pitapita zangu barabara ya DARAJA BOVU to Uwanja wa ndege Zanzibar nimeshuhudia UMATI MKUBWA WA VIJANA wengi mno wakiwa ni Wazanzibari waislam na wafuasi wa Taasisi ya UAMSHO...
Taarifa za uhakika kutoka Manispaa ya Arusha zinasema kuwa uchaguzi wa Naibu Meya utafanyika kesho,
Uchaguzi huu ulikuwa ufanyike wiki iliyopita kabla madiwani wa CHADEMA kukataa kwa madai kuwa...
Naamini mchakato wa Katiba Mpya utakuwa makini kwa kuwa tume iliyoteuliwa ni makini.
Maoni yangu ni kwenye masuala ya msingi kama ifuatavyo;
Katiba mpya itenganishe kabisa mihimili mitatu ya...
Yule mkenya anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka na kisha kujisalimisha kwa mchungaji Gwajima hakwenda kutubu. Katika mahojiano kati ya mtangazaji Rita Chiwalo na mmojawapo wa wachungaji wa kanisa la...
Siamini na ngumu sana kuamini kuwa chama hiki kinachojiita kikuu cha upinzani nchini kimeteswa na sana na mkutano wa ccm Jangwani kiasi kwamba kila wakiongea hawaachi kuutaja mkutano ule, ambao ni...
Sidhani
Nimesoma mabandiko humu ndani, na Kwenye vyombo mbalimbalivya habari juu ya Matamshi ya wazi wazi waliyoyatoa na wanayoendelea kuyatoa baadhi yawanachama wa CCM juu ya mageuzi ya kisiasa...
Sisi watanzania tunaoitakia mema taaluma ya uandishi wa habari na utangazaji,tunashindwa kuamini kuwa haya yanayofanyika ITV hayajaonwa na mmiliki na watangazaji wa kituo hiki!kwani kuna vipindi...
JUMAMOSI, JULAI 14, 2012 08:35
NA MWANDISHI WETU WA MTANZANIA,
DAR ES SALAAM
WILLIAM Malecela, mtoto wa mwanasiasa mkongwe nchini, John Malecela, amemshukia Katibu Mkuu wa Chama Cha...
Nakumbuka wakati ule kulipotokea mauaji ya wafanyabiashara wa madini wa Mahenge na Dereva taxi, JK aliibuka na kuunda tume huru akitoa maelezo kuwa kunasitofahamu nyingi kuhusu mauaji yale. Sasa...
Tunamsikiliza sana huyo Mhe. Waziri wa Jeshi. Kwa kweli ametumia busara sana; anaelewa kabisa jukumu la Jeshi. I have noticed Zanzibarian are very transparent personnels and not dirty like CCM...
sasa ni miaka hamsini,toka tupate uhuru wa bendera,nchi yetu bado ni omba omba kwa wakoloni wale wale tulio wafukuza na kutangaza ushindi kwao.
Ni miaka hamisi tukishuhudia deni kubwa la taifa...
Naamin katiba mpya siyo tiba yaumaskini wa watanzania bali itakuwa nyenzo mojawapo ya kututoa sehemu moja na kutupeleka sehemu nyingne ambayo naamin itakuwa bora zaidi.
Ninachooka katika mchakato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.