Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hebu watendaji wa wilaya za kusini msiweke siasa kwenye hili,igeni mifano kwenye wilaya zingine.Kesho tar.6 inasemekana semina kuhusu sensa zinaanza sa 2 asubuh!lakini mpaka sasa majina ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kulikuwa na tetesi na hata humu JF kukawa na thread inayoeleza kwamba kungekuwa na maandamano ya amani kupinga kifungu cha sheria ya SSRA kinachomkataza mfanyakazi kuchukua pension yake kabla ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kambi ya upinzani walisema hivi juu ya jambo hili na chini attached nyaraka 5.1 Shirika la ndege ATCL . Mheshimiwa Spika, Shirika la Ndege Tanzania ( ATCL) walikodishajiNdege aina ya Air Bus...
10 Reactions
67 Replies
6K Views
Jamani kuna majadiliano yanaendelea on Star TV; CCM, CUF na NCCR wanatuwakilisha vyema. Mada: Kukithiri kwa ufisadi, maadili yamepuuzwa? Wageni: Mwigulu Nchemba, Felix Mkosamali na Mnyaa
0 Reactions
21 Replies
2K Views
WANA JF MLIOKO KARIBU NA itv,HIVI SASA WANARUSHA KIPINDI MAALUMU CHA MKUTANO WAO HUKO KIGOMA
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ninaomba WIZARA YA ELIMU iwe makini nawawekezaji katika secta ya elimu, hasa kwenye shule ambazo zinatoa msaada kwawatoto wakitanzania ambao familia zao hazina uwezo wa kifedha, kwa mfanoninaomba...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Mimi ni mwanchama wa chadema na ni mkaa wa mwanza,kuna mambo nimekuwa nikijiuliza, 1.mbele ya pamba police post kuna ujenzi unaendelea pale yapata miezi 8 na kwa muonekano ujenzi na vifaa...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa kuwa naona Mahakama inatoa maelekezo lakini wanayapinga. Au ndio chachu ya kusema nchi isitawalike? Madaktari --hawakuheshimu maamuzi halali ya mahakama; Walimu ----- wamesema...
0 Reactions
186 Replies
10K Views
hii serikali inayoongozwa na ccm ilisema tuipe madaraka ya kuongoza ili watuletee maisha bora lakini badala yake ....... 1. Haiwezi kuwalipa walimu, 2. Haiwezi kulipa madaktari, 3. Haiwezi kuzuia...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
pamekuwa na maneno mengi sana kuhusu chama cha chadema kinavyoendesha shughuli zake. Tunawaomba wenye mapenzi ya dhati na chama chetu mtuambie chochote ambacho si kizuri kwa maendeleo ya chama NA...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Jeshi la polisi mkoani Morogoro limelikamata gari la matangazo la CHADEMA mapema jioni hii kwa maelezo kuwa hawawezi kuendelea na mikutano kwa kesho kw sbabu CCM wanamikutano pia. Nawasilisha
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Wadau nani mwenye highlights hatujuze vitu vya msingi vinavyotaka kuwekwa kwenye hyo sheria ya mifuko ya hifadhi za jamii. •Nasikia mafao hayatakiwi kuzidi wiki mbili mtu akistahafu na ikizidi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Sumbawanga - MPANDA District Magistrate's Court in Katavi region has sentenced director of a mining company, a Chinese national, Bloan Chaoxan Zhou (42) to four years in jail for illegally mining...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
KATIBU WA CCM TAWI LA NORTH LONDON NEEMA KUMBA AJITOSA UCHAGUZI UVCCM, TAIFA KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) na Msomi wa digrii ya uchumi, Neema...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chama cha mapinduzi kwa kiasi kikubwa kabisa kimetekeleza ilani zake na sasa kinapita kwa kila mwananchi kumueleza yale yaliotekelezeka na kukamilika na yalio karibu kukamilika. Usikose...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwaka 2005 JK Akihitaji kupewa ridhaa ya kuongoza nchi aliahidi mabadiliko makubwa kwa wafanyakazi wa serikali kwa kuboresha maslahi, alikumbushia mshahara alioanza nao kazi yeye kuwa aliweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bwana Lau Masha yupo hewani yupo hewani sasa akihojiwa na Fina Mango...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwishoni mwa juma nilikuwa jijini Arusha.Kwenye safari zangu za kimapato.Nikajifunza jambo moja.Kwamba CCM,kiwe kimehusika na hukumu iliyomsimamishia ubunge Lema ama la,haina mvuto Arusha.Ingawa...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Katika matendo ambayo yanaendelea kutokea, mimi naona ni kheri kumbook Kova huko katika mahakama ya dunia, kama walivyofanya wenzetu wakenya. Na sema hili na litatimia. Maana tumeshindwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ningependa kutoa pole kwa yale yaliyotokea na yanayoendeleakutokea katika nchini na nje ya nchi kuhusu sisi(madaktari).Pole kwa kumuuguzamwenzetu Ulimboka Steven(Dkt), Kushtakiwa kwa MAT, Kuhojiwa...
54 Reactions
190 Replies
18K Views
Back
Top Bottom