Gari la matangazo la CHADEMA lakamatwa Morogoro

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,587
573
Jeshi la polisi mkoani Morogoro limelikamata gari la matangazo la CHADEMA mapema jioni hii kwa maelezo kuwa hawawezi kuendelea na mikutano kwa kesho kw sbabu CCM wanamikutano pia. Nawasilisha
 
Polisi magamba ndivyo walivyo!!! Watafanya kila namna ili kuzuia harakati za CHADEMA...

Naona hii ndio itakuwa style mpya ya magamba. Kila wakisikia CHADEMA wanafanya mkutano mahali fulani nchini basi nao watazuka na kufanya mkutano siku ile ile ili kuwatumia polisi magamba kuwazibia CHADEMA wasifanye mikutano yao.


Jeshi la polisi mkoani morogoro limelikamata gari la matangazo la CHADEMA mapema jioni hii kwa maelezo kuwa hawawezi kuendelea na mikutano kwa kesho kw sbabu ccm wanamikutano pia nawasilisha
 
CCM wanamikutano gani hii fitina ina mwisho wake nimejipanga toka asubuhi kwaajili ya mkutano wa M4c halafu watu wanatia fitina.
 
Kweli bro, na mimi nimeshuhudia jioni hii wafuasi wengi wa chadema w.akiwa pale nje ya kituo cha polisi. FFU nao walikuwa wengi kwenye magari yao. sina hakika kama mbowe atahutubia kesho, maana hali si shwari tena
 
Nasema hivi, kiama cha ccm kimefika sasa kila hila watakayoitumia itashindikana, hao ccm ni wafa maji ndo maana wanajitahidi kukumbatia mpaka unyasi ili kujiokoa kwa kuwatumia polisi kuua nguvu ya CHADEMA. Tusife moyo Makamanda 2015 nchi ya kwetu.
 
Sina hakika kama unaelewa maana sahihi ya neno TIJA na sitaki kuamini kirahisi kwamba unachosema humaanishi. Nakuomba chukua dakika tano kukishirikisha kichwa chako yaani ubongo wako na hisia. Mungu akukumbuke.
Walikamate tu halina tija kwa taifa
 
CCM ni kama binadamu....CCM ilizaliwa, ikakuwa, imezeeka na sasa inakaribia kufa kwa magonjwa ya uzeeni.
So watabanaweeee lakini ukweli wa mambo ccm imechokwa na sasa inakufa. Big up wakazi wa Morogoro
 
Hata kama lina Tija halitusaidii chochote sisi maskini. Tija iko kwa mafisadi wanaojua wanachopata huko. Wamalawi walichukue ila wasitoe uhai wa watu wetu.
 
Mpaka lini tutaendelea kuvumilia kuwa dicriminated na exploited kama hivi tunavyofanyiwa ktk nchi yetu huru? Muda sasa na wakati tuamke kwa pamoja kupinga udhalimu wa namna hii.
CHADEMA KESHO TUFANYE TU HARAKATI NA LIWALO NA LIWE.

FEAR NOT.
 
Nasema hivi, kiama cha ccm kimefika sasa kila hila watakayoitumia itashindikana, hao ccm ni wafa maji ndo maana wanajitahidi kukumbatia mpaka unyasi ili kujiokoa kwa kuwatumia polisi kuua nguvu ya CHADEMA. Tusife moyo Makamanda 2015 nchi ya kwetu.

Makaburu walikuwa na ulinzi mkali kuliko policcm wakashindwa kwa nguvu ya umma.NYAMALA MWANANGU CHADEMA.
 
Ccm ndiyo yenye dola mtakoma bado JWTZ polisi sawa na raia wakakamavu! Labda tumieni twiter na youtube au facebook
 
Ccm ndiyo yenye dola mtakoma bado JWTZ polisi sawa na raia wakakamavu! Labda tumieni twiter na youtube au facebook

Mbona mnatuaibisha mpaka mpaka wa Malawi umevukwa na askari jirani ninyi mnasumbua CHADEMA! Hamna aibu wala haya?
 
Kupingapinga kila kitu nako ni ugonjwa! Hivi polisi wakiachia mikutano yote ifanyike ktk eneo moja siku moja si ndo yatatokea yale ya singida ee? Halafu turudi tena jukwaani hapa kuumiza keyboad tukimwaga cheche lawama kwa serikali/polisi? Hii nchi hii? Nje ya mipaka kina joyce wanaleta za kuleta?!! Ndani mambo hayaeleweki....!! Khaaa??
 
mmh hali inasikitisha hizi sababu zinazotolewa na polisi ni za kitoto na hazina tija kwa taifa
 
Back
Top Bottom