Tumpeleke Kova The Hague. Mahakama ya kimataifa

vicent tibaijuka

JF-Expert Member
Mar 22, 2012
268
57
Katika matendo ambayo yanaendelea kutokea, mimi naona ni kheri kumbook Kova huko katika mahakama ya dunia, kama walivyofanya wenzetu wakenya. Na sema hili na litatimia. Maana tumeshindwa kunyanyaswa na watu hawa. UN imeshaona kinachoendelea tanzania.
 
Kova anaweza kupona kwa sababu anatumiwa na IKULU pamoja na Mwema.Kwa mujibu wa makosa ya ukatiri dhidi ya binadamu mshtakiwa wa kwanza ni Kikwete.
 
Kama aliweza kumkamata chizi na kumfungulia mashtaka ya kumpiga dr Ulimboka kwa kweli anastahili kupelekwa The hague fasta, kwa hili binafsi nimemdharau kabisaa!
 
Back
Top Bottom