Serikali ya CCM inawatumia walimu vibaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya CCM inawatumia walimu vibaya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by augustino ameri, Aug 4, 2012.

 1. a

  augustino ameri JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwaka 2005 JK Akihitaji kupewa ridhaa ya kuongoza nchi aliahidi mabadiliko makubwa kwa wafanyakazi wa serikali kwa kuboresha maslahi, alikumbushia mshahara alioanza nao kazi yeye kuwa aliweza kununua kitanda viriji kwa mshahara wa mwezi mmoja. Pia aliahidi kuwa walimu popote watakapo pata chuo watasoma bure.

  CCM imekuwa ikiwatumia walimu kama condom ama mbwa; KATIKA KUTIMIZA MATAKWA YAO CCM NA SELIKALI YAKE IMEKUWA NA TABIA YA KUWAPUMBAZA KWA KUWAONGEZA MISHAHARA KARIBU NA MIAKA YA UCHAGUZ ,UKIPITA BASI TENA MPAKA BAADA YA MIAKA 9 WAKATI RAIS ALIYEPO ANAPOMALIZA MIAKA 10 .MAANA AKISHINDA KWA MIAKA MITANO YA MWANZO ILE MIAKA MITANO MINGINE HAHITAJI TENA KULA ZA WAFANYAKAZI WANAKUWA WACHACHE LAKI TATU TU.KUMBUKENI WAFANYAKAZI MLIVYOONEKANA WACHOYO NA WAROHO KABLA YA UCHAGUZI WA 2010 mkaambiwa"na huyo mgaya hamtamuona".

  Kumbukeni walimu mwaka huu 2012 mkiwa kwenye mgomo Rais katika hotuba yake ya mwezi aliyosoma tar 1/08/2012 alionyesha dharau sana kwani aliongea kama vile hakuna mgomo na alikuwa akiongea huku akicheka kwa dharau na mwisho aliongelea mgomo uliopita wa madaktari kuwa ndio wenye madhara.Walimu walikuwa wanadai nyongeza ya mshahara wa asilimia mia ambapo mwalimu wa mwisho kwa asilimia mia angekuwa na tsh 420000/=mshahara ambao bado ulishapitwa na kada zingine kama kima cha chini.

  KONDOMU HUTUMIKA PALE MTUMIAJI ANAPOKUWA NA HAJA AMALIZAPO HUWA NI KINYAA,UCHAFU HUTUPWA, HADI SIKU TENA ATAKAPOJISIKIA.MBWA WA KUWINDIA HUWA NA MAANA WAKATI WA KUWINDA TENA HUHAMASHISHWA KWA KAMATA KAMATA AKISHAKAMATA HUNYANG'ANYWA NA KUKAA MBALI NA MWINDAJI AKIANGALIA MNYAMA ANAVYOCHOMWA NA KULIWA ,DENDA HUMTOKA KWA KUANGALIA MINOFU INAVYOLIWA NA KURUSHIWA MIFUPA.MWL OFISI YAKE HUTEULIWA MOJAWAPO YA DARASA KITI CHAKE DAWATI.WAKATI WATUMISHI KADA ZINGINE WAKIWA NA OFISI ZENYE MARUMARU NA VITI VYA KUZUNGUKA VINAVYOBADILISHWA KILA BAADA YA MIEZI MITATU.PIA ZINA POSHO NONO ,CHAI NZITO NA NJE KUNA GARI LA SERIKALI V8.MWALIMU ANAAMBIWA MPO WENGI KWANI KUWA WENGI SI MIONGONI MWA WAFANYAKAZI WA RESIKALI,.
   
 2. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duh! Pole mkuu, naona imeandikwa kwa hisia. Uchungu kweli. Lakini ndo tunae Prezdaa mpaka 2015.
   
Loading...