Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makame, Jul 29, 2012.

 1. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa naona Mahakama inatoa maelekezo lakini wanayapinga. Au ndio chachu ya kusema nchi isitawalike?


  1. Madaktari --hawakuheshimu maamuzi halali ya mahakama;
  2. Walimu ----- wamesema hawatoheshimu.

  kitendo cha kwenda kinyume na amri za mahakama sio ishara njema, na kitatufanya tuwe kama majahili. hatuna majadiliano, hatuna heshima, hatujui mamlaka wala hatuna ustaarabu.

  Tuheshimu MAHAKAMA
   
 2. m

  master gland Senior Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  KAMA WEWE SYSTEM UNANUFAIKA NAYO IHESHIMU
  KWANI HIYO MAHAKAMA NI YA UPANDE MMJA TU NA IPO KWA MASLAHI YA MAGAMBA
  HAKUNA SABABU YA KUHIHESHIMU MAHAKAMA KAMA UNAJUA HAITENDI HAKI
  IN PHYSICS WE SAY ``FOR A BODY TO BE IN EQUILIBRIUM CLOCK WISE MOMENT MUST BE EQUAL TO ANT CLOCK WISE MOMENT''
  ILA KWA MAHAKAMA ZETU CLOCKWISE MOMENT IS GREATER THAN ANTCLOCKWISE MOMENT hence no balance
   
 3. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Unauhakika kama hizo amri za mahakama ni halali? na kama unauhakika zilete hapa hizo amri ili tukuelewe.

  Ili kusudi taasisi yoyote ya serikali iheshimiwe ni lazima ijenge CREDIBILITY kwa wananchi na zinapokuwa za kijanjajanja wananchi wanachoka na huo unyanyasaji na ubabe wa hizo mamalaka na itafika hatua watu watakuwa wanagoma bila hata kufuata taratibu na Serikali haitaweza kuwanyamazisha

  NI MDA MCHACHE UMEBAKI UTAONA WATANZANIA WAKIJIKOMBOA
   
 4. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni kweli hata wazazi wasiojiheshimu hawaheshimiki, hivyo mahakama zinazopendelea serikali hata mkifuata sheria zitaheshimikaje. Nawashauri tuungane kudai haki zetu hata kama mahakama itapinga. Mahakama rudisheni heshima kwa kutoingilia mgomo ili serikali ijue kuwa inatutendea vibaya walimu. Walimu tuache uoga ukombozi wetu uko mikononi mwetu. Mawaziri na manaibu wanatukandamiza na kututishia wana nini zaidi ya ufisadi wanaotetea.

  MAHAKAMA ACHENI KUJIKOMBA KWA CCM SIMAMIENI HAKI. VINGINEVYO KILA MTANZANIA ATAWAPUZA MAJAJI NA MAHAKIMU WA TANZANIA. MBONA NCHI ZINGINE WANAGOMA SERIKALI ZINAFIKIA MUAFAKA PASIPO KUKIMBILIA MAHAKAMANI.
   
 5. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,126
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  mbona wewe unajadili mambo yaliyokuwa mahakamani? hujafundishwa na mwalimu nini
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Unazungumzia vyama vya wafanyakazi!! Itafika kipindi hadi raia watakuwa hawasikilizi amri ya chombo chochote.
   
 7. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe MTANYAMALI akili zako ziko sehemu gani?

  Kama una hamu ya kuongeza posts; weka zenye maana

   
 8. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,126
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  niongeze post ya nini? mimi akili zangu zipo kichwani sio kama zako zilizokaa kwenye masaburi, watu tunauchungu tunahitaji haki zetu wewe unasema tuheshimu mahakama wakati unajua ndio kimbilio la serikali siku zote! acha hizo ww
   
 9. doup

  doup JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  ndugu, muhimili huo umejishushia hadhi wenyewe kwa kuwa wala rushwa, wasiotenda haki, na sasa kutumika na serikali kila wanaponaa wamebanwa, ku kumbilia huko na kusingizia jambo liko mahakamani,
   
 10. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  jiheshimu uheshimike....mahakama ni kichaka cha magamba!!!
   
 11. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HATA iWEPO SERIKALI GANI LAZIMA MAHAKAMA ZIWEPO.

  LAZIMA MAHAKAMA ZIHESHIMIWE.

  MABADILIKO SIO KWA KUASI SHERIA

  MABADILIKO YANAWEZA KUPATIKANA NDANI YA SHERIA

  WALA MAHAKAMA HUWA HAZIPINDI SHERIA KUIPENDELEA SERIKALI

  MAHAKAMA ZINASIMAMIA SHERIA

  NA PENYE MTAFARUKU, MAHAKAMA HUTAFUTA SULUHU MUAFAKA.

  MBONA MNYIKA ALITAMKWA MSHINDI NA MAHAKAMA?????

  WACHA FIKRA MGANO WEWE

   
 12. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ALIPOSHINDA HECHE MAHAKAMANI ILIKUWA KICHAKA CHA MAGWANDA, WACHENI MAWAZO MGANDO; heshimuni mahakama zetu
   
 13. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnyika alitoa Rushwa kushinda Mahakamani????

  Wacheni gross generalizations
   
 14. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mtu mzima ovyooo!!!, ni mahakama gani iliyosimamisha mgomo wa walimu? Serikali yenu inafanya kazi kwa mashinikizo badala ya kutatua matatizo! na nyie mnaetumwa kuitetea hamtumii akili kujenga hoja! acheni kutumia makamasi, tumiaeni ubongo kufikri!
   
 15. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu kwanza tujiulize nikwanini upande mmoja tu ndio unakimbilia mahakamani? je hakuna njia mbadala ni mahakama tu?
   
 16. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo itakua sio nchi, itakuwa kichaka cha watu wasio na ustaarab u

  Barabarians

   
 17. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mahakama zilijikomba kwa magwanda kumuangusha mbunge wa ccm kule sumbawanga?

   
 18. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  You mean LEVER?
   
 19. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama mahakama haina credibility nani mwenye credibility? Mnyika?????
   
 20. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MAHAKAMA INASIMAMIA HAKI; ikimpa ushindi MNYIKA ndio inakuwa imetenda haki?

   
Loading...