Hawana jipya
Hawana jipya
Huyo Charles Tchizeba anakiri hadharani matumizi mabaya ya ofisi kwenye mamlaka ya reli Kigoma,harafu anadai...basi tu kwa sababu ni mtoto wa kiongozi simsemi kaah!
wajameni mliooangalia kigoma ilishakuwa dubai?aaaaa iogope ccm.Badala ya kupima virusi vya ukimwi pima damu yako uone kama kuna chembe za uccm uwahi tiba mapema kwa sababu ni heri ukimwi kuliko ccm
Sioni kama umejibu hoja ya jamaa hapa!!!!! Walk your talks mkuu acheni kutenda kama chama cha upinzani. Mmeshapewa mamlaka ya kutengeneza serikali, sasa ya nini kulalama kutwa kucha?Bahati mbaya hasira zako na chuki zako dhidi ya CCM zinaishia JF kwahiyo hazitupi tabu. Kura yako kwa wapinzani na rafiki zako wawili watatu zinatusaidia kuaminiwa kuwa kuna siasa ya vyama vingi nchini. Keep it up!
Bahati mbaya hasira zako na chuki zako dhidi ya CCM zinaishia JF kwahiyo hazitupi tabu. Kura yako kwa wapinzani na rafiki zako wawili watatu zinatusaidia kuaminiwa kuwa kuna siasa ya vyama vingi nchini. Keep it up!

ccm kumruhusu wasiri kuwa mpiga debe muhimu ni ishara tosha kwamba ccm kwishnee