Katibu wa ccm tawi la north london Neema Kumba ajitosa uchaguzi uvccm, taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu wa ccm tawi la north london Neema Kumba ajitosa uchaguzi uvccm, taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Aug 4, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  KATIBU WA CCM TAWI LA NORTH LONDON NEEMA KUMBA AJITOSA UCHAGUZI UVCCM, TAIFA  [​IMG]
  KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia umoja wa vijana wa CCM
  (UVCCM) na Msomi wa digrii ya uchumi, Neema Kumba

  [​IMG]
  Neema akikabidhiwa fomu jana na Sophia Duma Makao Makuu ya UVCCM jijini Dar es Salaam .
  --
  DAR ES SALAAM, TANZANIA


  KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia umoja wa vijana wa CCM


  (UVCCM) na Msomi wa digrii ya uchumi, Neema Kumba, amejitosa kwenye

  uchaguzi mkuu wa umoja huo Taifa kwa kuchukua kugombea nafasi ya NEC na

  uwakilishi UWT.
  Akizungumza na waandishi wa habari mapema jana, Agosti 3, jijini

  Dar es
  Salaam, muda mfupi baada ya kukabidhiwa fomu hiyo na Mkuu wa Idara ya

  Oganizesheni na siasa UVCCM, Taifa, Sophia Duma, Kumba ambae awali alikua Katibu

  wa CCM, tawi la North London, Nchini
  Uingereza, alipokua akichukulia digrii yake

  ya uchumi, alisema lengo ni
  kuakikisha mikakati thabiti inajengeka kwa kiwango

  kikubwa miongoni
  mwa vjana na wanawake wote nchini.


  "Kwa umakini wangu na maarifa niliyoyapata kwenye elimu na uwepo wangu

  ndani ya chama, ndani na nje ya nchi, ni wakati sasa na mimi kuwasaidia

  wenzangu hasa Vijana na wanawake ambao mara nyingi wamekua wakisahauriwa na huu

  ndio wakati wa kuwainua" alisema Kumba.
  Mbali na kuchukua fomu hiyo ya NEC na

  uwakilishi UWT, Taifa, pia tayari
  alisha chukua fomu ya kuwania nafasi ya

  Mwenyekiti Uvccm, Wilaya Ilala.
  Mpaka sasa tayari wanachama mbalimbali wa UVCCM,

  wamejitokeza kuchukua
  fomu za kuwania uongozi ambapo mwisho wa kurudisha fomu

  hizo, Agosti 6.  [​IMG]

   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hawa wana Wadhamini nini? Wengi Wanarudi kugombea Madaraka... Mimi naweza nikapata VUMBI
   
 3. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,992
  Likes Received: 990
  Trophy Points: 280
  Mbona mmesahau lile dongo lenu?
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Amechoka kubeba boksi sasa anataka kutembelea v8
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  ingependeza kujua yeye kama aspiring leader anafanya nini hsasa UK, alikwenda kwa lengo gani na kama bado ana lengo hilo lililompeleka au la, we dont need leaders wasio na targets za maisha bali kudandia tunafasi tunatojitokeza ilimradi waishi
   
Loading...