Madaktari wenzangu: Only "Mass resignation" itawaamsha watawala! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari wenzangu: Only "Mass resignation" itawaamsha watawala!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by hippocratessocrates, Jul 11, 2012.

 1. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Ningependa kutoa pole kwa yale yaliyotokea na yanayoendeleakutokea katika nchini na nje ya nchi kuhusu sisi(madaktari).Pole kwa kumuuguzamwenzetu Ulimboka Steven(Dkt), Kushtakiwa kwa MAT, Kuhojiwa kwa Rais wetu NamalaMkopi(Dkt), Kufukuzwa kwa madaktari walio mafunzoni (Intern doctors), vitisho kwa wakuu wa idara n.k.

  Mwaka huu Vyuo vikuu na shirikishi vya afya na tibavinategemea kutoa wahitimu kama ifuatavyo:

  -MUHAS (150), KCMC(80), WBUCHS(50), HKMU(55), IMTU(45) naUDOM(0).
  Kati ya hawa wapo wageni(foreigners) watakaorudi ktk nchizao, wapo ambao watakwenda kufanya internship katika hospitali za binafsi, nawapo wataenda kufanya kazi katika asasi zisizo za kiserikali(NGO)-kwaniinternship si lazima kufanya, ila hadi pale utakapoamua kufanya kazi katikahospitali. Kinachonishangaza serikali inasema inategemea madaktari 700 kutokavyuoni, inawatoa wapi?

  MAONI:
  Inawezekana katika kila jambo la nchi hii siasa(propaganda)imeingizwa, lakini si katika fani ya udaktari, hii ni fani(Profession) nainapaswa kuheshimiwa kama ilivyo. Si ajabu kiongozi kufika pale Hospitali yaTaifa na kukosa kipimo na kuambiwa kwenda Aga Khan au Regency, utamsikiaakisema "kwani havipo hapa" ukimweleza kuwa ni vibovu utasikia "wanapaswakuwakumbuka"..hii ni moja ya kauli ya kiongozi mmoja mkubwa serikalini!

  -Si ajabu kumkutaSpecialist akifatilia damu kule Bloodbank,
  -Si ajabu kumkuta Specialist analalamika hawezikuendelea na upasuaji kwani gloves zimembana sana(Sio saizi yake) nakushindwa kutumia vifaa vizuri,

  Si ajabu kumkuta Specialist akisubiri hadi nguo za upasuajieti nguo hakuna!
  Si ajabu kumkuta Specialist amejifunga shirt kichwani kamakofia, Si ajabu kumkuta specialist amevaa gauze kama mask!!
  Si ajabu kumkuta Daktari amejihatarisha(being exposed) na damulakini hakuna Post Exposure Prophylaxis(PEP)

  Hii ni katika hopitali ya Taifa, sasa jiulize kama hospitaliya Taifa hali ni hii, katika hospitali nyingine hali ikoje??

  Kwa specialist, resident, registrar, interns wenye tabia ya kulalamika na kudaimabadiliko, ni mabadiliko yapi mnayoyadai ili hali muda wa mabadiliko hamsimamiimara katika kudai haki yenu??

  Sitegemei madaktari wote kudai haki yao (kwani najua wasalitiwapo tu) lakini zaidi ya yote ni hawa wanaokuwa vuguvugu na wanafiki!!


  KAMA WAZAZI/WALEZI
  :

  Mnawafundisha nini hawa wadogo wenu na watoto wenu, kuhusu kudai haki yako ya kikazI, "I know it is wisdom that takes courage to sit down and listen but it is the same wisdom which takes courage to stand for your right".

  KAMA VIONGOZI/WALIMU:
  Unapokuwa ukipita round na wanafunzi wako(medical students,interns, registrar, residents), unajisikia nini pale wagonjwa wanapokufiakatika round, kwa sababu tu ya kukosa huduma ambayo ungeweza kutoa kwa mgonjwana kuwa chahu kwa wanafunzi wako? Wanafunzi wanakuonaje wakati ukisema, "in other countries they could have done soand so" wakati muda wa kudai hivyo vifaa na dawa hizo ndio huu? Wanafunziwako wankuonaje wewe kama specialistwakati wenzako wako katika mgomo wewe unapita round, tena wanafunzi wako wakiwana vitambulisho tu bila makoti, wewe ukiwa na koti?

  KAMA WASTAAFU NAMADAKTARI BINGWA WATARAJIWA:
  Wakati wadogo/watoto wetu(intern doctors) waakiwa wameachiwamzigo huu, najiuliza kwa mfano tunapokuwa katika MWR, Discussion Panel huwatunapima uwiano wa wagonjwa na treatment options:
  Leo hii tukipima Option ya MASS RESIGNATION inashindikana?

  -Neurosurgeons(4),
  -Orthopeadicsurgeons(15),
  -Pediatricians(30),
  -ObGynaecologists(45),
  -Physicians(60)regardless of subspeciality ie Neurolgist, Gastroenterologist,etc.
  -Psychiatrist(30)-notpsychologist,
  -Surgeons (40)-regardlessof subspecialty like Cardiothoracic, Plastic surgeons etc,
  -Otorhinolaryngologist(20),
  - Anaesthiologist 25(notanaeshetist),
  -Opthamologist 30(notoptician,optometrist)…HII NI IDADI KWATANZANIA NZIMA.

  Hofu kwetu kama specialists na hawa residents ni kwamba mafao, lakini tujiulize leo kama Profesa anapewa mafao ya 50,000/=Tshs kwamwezi hii ndiyo inayokufanya usigome au kuamua kuresign? Kweli?

  -Cha kushangaza kuna megabrains nyingi sana za kutegemewa lakini wanaact kama hawajui hili, naamini specialists, Residents, registrar nainterns pamoja na medical students tulikuwa na APGAR SCORE ya 10 – 10!! Sasa inakuwaje microbrains ifanye hivi kwa megabrains.

  If I weigh the option of mass resignation I believe it fits the puzzle, because I believe it won't take even a month for the government to call us back to the discussion table (UNDER OUR TERMS THIS TIME) , and in the mean time(I dare to believe that none of us can perish because of financial crisis).

  On the other side the Government cant import other doctors,look at WHO doctor-patient ratio, every country needs one, and for those whothink they will import, ask yourself these questions from which country? Will theybe able to pay them(THIS should be above their home salary), accommodation,transport?

  This is a profession(medical terminologies) and not just mere English, I bet they might needtranslators, how many? Will they pay them? Will those doctors work in thisenvironment or they have to come with medical equipments, medicine? For howlong will they have to stay here? Will they gain trust to people(rapport etc)?

  Hebu tusimame pamoja katika hili, mengi yanafanyika bila mpango hukumu kusomwa mahakamani wakati huo huo, interns kufukuzwa ..sasa unajiuliza kesi ya nini kama tayari wameshafukuzwa, na Rais kuingilia madaraka ya mahakama (kutoa hukumu wakati jambo hilo hilo kukataliwa bungeni), lakini kuumizwa sana kwa Dkt,UlimbokaSteven.

  PLEAD/CALL: LET US STAND TOGETHER NOW MORE THAN EVER, THIS TIME NOT IN TOTAL TOOLS DOWN BUT IN MASSRESIGNATION.
   
 2. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  only mass resignation.
   
 3. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,795
  Likes Received: 2,567
  Trophy Points: 280
  There is nothing to fear than fear itself. Bila ku overcome your fears mambo yatabakia pale pale, mishahara duni, ukosefu wa vitendea kazi, and prospect ya 50000 per month retirement package.
   
 4. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,188
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
 5. H

  Heri JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kwani lazima umefanye kazi serikalini? Sometimes ni bora kuwa watu wachache dedicated ambao una uhakika wa huduma kuliko kuwepo wengi wenu ambao hatuna uhakika wa kupata huduma. Mwanzoni tutapata shida.
  I advise you to ask UN to help you with your employment.
  Other professions battle it out in the real world .
   
 6. s

  slufay JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yataka ujasiri! Sina hakika kama wote mko pamoja kiasi hicho " hatuko huru ila tuna nidham ya uwoga.
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mungu ibariki tanzania,mungu nibariki mimi,mungu wabariki viongozi wetu,mungu wabariki madaktari mungu wabariki watanzania.aaaamen.
   
 8. K

  Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 1,221
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Halafu kuna wengine wanavuta zaidi ya hizo wanazodai madogo inategemea wapo miaka mingapi kazini na vyeo gani Plus Private na wateja wengine wanawatoa huko huko serikalini halafu wawaunge mkono? kweli wanafanya utani! Hilo ni Lenu peke yenu mmewachwa mayatima,mjipange ombeni msamaha mrudi militumikie taifa na mdai haki kupitia taratibu za kisheria!
   
 9. Wile GAMBA

  Wile GAMBA JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 1,809
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  inasikitisha sana! pamoja mkuu
   
 10. m

  mahoza JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 1,241
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  So sad the pain is just too much. I stand with u all doctors imo siku mtafankkiwa. As u said lazima jmona wa madactari na watanzania wanaoathirika. Mtafankkiwa tu.
   
 11. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,884
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 180
  "I know it is widom that takes courage to sit down and listen but it is the same wisdom which takes courage to stand for your right".


  and let wisdom reign, stand up and fight for your right
   
 12. Joyum

  Joyum Senior Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeongea vizuri sana, ila hiyo haiwezekani kwa mind set and courage ya Mtanzania.

  Ninachowashangaa nyie madr ni kimoja tu, kwanini unaanzisha kitu huwezi kukimaliza! hebu ona sasa ulimboka sijui Olimboka wa watu kaumizwa bure na rais wa mat ana kesi alafu wengine wamefukuzwa wengine wanarudi!!!!!!!

  C'com guys DONT HUNT WHAT YOU CANT KILL.

  YAANI MMENIBOA SAAAANA MADR, MMEGOMA MMESABABISHA UNREST ALAFU MNARUDI BILA HATA DAI MOJA KUTIMIZWA!!! SERIOUSLY!!! :redface:
   
 13. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,365
  Likes Received: 8,351
  Trophy Points: 280
  Only Mass resignation
   
 14. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #14
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Trust me.. I wish you'd know what is going on now...issue ni kwa specialist wachache tu wanaodisappoint na si wote,.. moja hiyo ya kufuta leseni ndio wanachokoza kabisa, specialist hawezi kufanya kazi bila msaidizi GP(general practitioner)... when it comes to individual level..

  To date TZ had total of 1700doctors, out of those 300 wako katika vitengo mbalimbali za wizara na other administrative work(kama wahidhiri wa vyuo nk), mgomo wa April over 120docs waliondoka, leo hii 5 doctors from Mbeya wameshasaini mkatb Gaborone na wengine wengi tu wanaondoka..

  Kwa analysis ya kawaida ukiwa na mtoto au mdogo wako anayetaka kusomea udaktari(leave apart ugumu wa masomo, muda mrefu wa masomo) utamshauri kwenda au kubadilisha kozi?

  Leo hii tanzania ina vita dhidi ya UKIMWI, lakini daktari yule yule anayemhudumia ndugu yako na kiongozi wako anapoomba angalau kinga inakuwa shida..eti ni wito!! wito upi wa kusoma muda mrefu, masomo magumu, kazi kufanya muda mrefu katika mazingira hatarishi na kuambulia magonjwa??
   
 15. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #15
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Andikeni barua nyingine UN waingilie kati. Huu ni ukiukwaji wa haki za binaadam na UN haikubaliani kabisa. Ilazimisheni UN iipeleke Serikali kwenye mahakama ya ICC
   
 16. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #16
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hospitali ya Taifa,MNH..madaktari bingwa(Specialists) wameanza kuresign, ..way to go doctors...way to go.
   
 17. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #17
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,568
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii hoja pale juu ulivyoichanganua...nimefurahi sana.Nina uhakika wewe kama ni daktari,basi ni daktari kijana coz wazee wengi hawawezi kuja na mawazo POSITIVE kama haya.

  Kiukweli kwa hali ilivyo sasa,the ONLY way forward ni hiyo uliyopendekeza tu!Na katika hali yoyote ile serikali watalegea tu hawawezi kuendelea kuwa ngangali katika hali kama hiyo hata siku moja.Na hawawezi kuagiza madaktari toka nje coz kwa kufanya hivyo uozo wao utajulikana kwa hao madaktari watakaokuja na hatimaye kwa dunia nzima.Hivyo basi endapo wote mkipeleka barua za ku-resign mambo yenu yataenda kama mnavyotaka and more!

  I didn't know kama tuna madaktari wachache kiasi hicho...yaani tulitakiwa tuwa-handle with CARE ya hali ya juu sana.Imagine ktk baadhi ya specialization wapo wanne,kweli??Hii serikali sijui inapotupeleka kwa kweli.Kama ulivyosema mpo 1700 kwa ujumla,hata hiyo namba bado ni ndogo sana hata mngelipwa 3M each!

  Nawaomba muhamasishane sana kwa kuelezana uhalisia kama huu uliouelezea hapa ili kila mmoja wenu aelewe coz nina uhakika wengi wenu hawajui kama nyie ni "keki" kiasi hiki!Watu humu ndani wanaweza kunishangaa kwa nini nahamasisha namna hii,napenda madai YOTE yatimizwe na serikali kuanzia ya kuleta vitendea kazi mpaka mishahara yenu.

  Mungu Ibariki Tanzania,
  Mungu Wabariki madaktari wa Tanzania,
  Mungu walaani mafisadi wa TZ akiwepo JK!
   
 18. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Maskini namkumbuka Dr Tommi, huyu alikuwa ni dictor bingwa wa watoto huko ufin alipokuja bongo kutibu yaani akikuandikia dawa lazima aulize madoctor wa hapa bongo au wafamasia.

  Unaweza kuona jinsi ilivyo vigumu kwa dactari mgeni kufanya kazi hapa.

  Sasa hivi huyo doctor ni neuron surgen wa hospital moja huko helsink ila hato sahau ugumu aliokuwa anaupata ktk kutibu wabongo.
   
 19. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tuneno twekundu nimetupenda. Walidai walimu ndo huwa waoga. Sasa naskia mpaka walificha vitabu vya mahudhurio. Wakati mwingine muwe mnafikiria sana kwanza.
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Hii imewekwa vizuri, kiakili na ukiisoma inasikitisha. Inatoa wito kwa madaktari kuangalia wanachogombania ni nini hasa na kwa manufaa ya nani. Kama madaktari hawawezi kulazimisha serikali kukaa nao chini hakuna mfanyakazi wa kada nyingine yoyote atakayeweza kufanya hivyo. I support the doctors!
   
Loading...