Muswada wa mashirika ya hifadhi za jamii

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,643
68,586
Wadau nani mwenye highlights hatujuze vitu vya msingi vinavyotaka kuwekwa kwenye hyo sheria ya mifuko ya hifadhi za jamii.

•Nasikia mafao hayatakiwi kuzidi wiki mbili mtu akistahafu na ikizidi watatozwa fine hayo mashirika
•Nasikia pia watapunguza baadhi ya viambatanisho visivyokua vya msingi kupunguza mlolongo mf barua ya ajira nk

Nawasilisha.
 
Nitawaelewa kama watafanya mifuko yote iwe sawa,
yaani wastaafu wote wawe na hesabu zinazolingana kutoka mifuko yote.
 
Nitawaelewa kama watafanya mifuko yote iwe sawa,
yaani wastaafu wote wawe na hesabu zinazolingana kutoka mifuko yote.

Yap nasikia kuna Regulator ndio atakayesimamia mifuko yote na tozo zote zitakuwa sawa kwa mifuko yote,kwa mtu aliyeniambia kama itakua hivi basi itakuwa nzuri sasa sijui hyo sheria itaanza kufanya kazi lini.
 
Haya wadau kiukweli kuzuia fao la kujitoa halikuwepo kwenye muswada,ila walilembesha sana hili wananchi waone SSRA ni nzuri,nshakumbuka nilisikiliza lkn sijaona sehemu yeyote walidiscuss swala la kuzuia full usanii ulitumika.
 
Back
Top Bottom