Lau Masha Live on Magic FM 92.9 akihojiwa na Fina Mango

Anasema atarudi kwenye siasa kwa kishindo 2015 na kutoka kwenye siasa sasa hakujambadili maisha, na anampongeza sana JK kwa uongozi makini. Sasa amechagua kibao cha Nawashukuru wazazi wangu...
 
Baada ya kutemwa uwaziri, nadhani sasa ndo yuko huru kujiachia viwanja na vimwana kwa kwenda mbele. My wife wake ana kazi kweli kweli!
Niliwahi kumshuhudia kiwanja fulani akitaka kupimana nguvu (ngumi) na balozi fulani wa Tz kwa ajili ya CD. Hapo alikuwa ni waziri wa mambo ya ndani!!! Nilichoka kabisa.
 
Fina amemuuliza je Lau Masha alijua ameshindwa? Akajibu ndio na siku hiyo baada ya kufanya tathmini akampigia simu mheshimiwa JK kumuambia kuwa ameshindwa Nyamagana na anaomba radhi kwa hilo, FM akamhoji zaidi je nini alijibu JK jamaa akapotezea kwa kusema ni siri yake na JK, hehehehe si angesema tu kuwa JK alipanda ndege kwenda Mwanza kujaribu kumhonga Wenje na kuiamuru tume igeeze matokeo bila mafanikio??
 
Kweli jamaa shujaa kutoka kwenye uwaziri mpaka kuzoa taka mjini......
 
Je Rais awe nani kati ya Zitto na January Makamba yeye anajibu wote wanafaa na inategemea nani atakuwa katika nafasi nzuri hapo 2015
 
Huyu jamaa anadai aliwafanyia mambo makubwa sana wana Nyamagana!Tunamwomba arudi tena agombee ili akaombe tena msamaha kwa kushindwa tena kwa kishindo!
 
hehehehe si angesema tu kuwa JK alipanda ndege kwenda Mwanza kujaribu kumhonga Wenje na kuiamuru tume igeeze matokeo bila mafanikio??

Humjui JK wewe, wala hujui mahusiano yake ni Masha.
 
Jamani fina amerudi kutangaza? Lau masha nilishakutana nae club moja, nikawa nacheza na ad emu wake, nusura nikamege, akanichoropoka, ningeuwawa na jeshi la polisi
 
Anasema atarudi kwenye siasa kwa kishindo 2015 na kutoka kwenye siasa sasa hakujambadili maisha, na anampongeza sana JK kwa uongozi makini. Sasa amechagua kibao cha Nawashukuru wazazi wangu...

Alisema eti hakuna VITABU VYA KUELEZEA HISTORIA YA WANASIASA WA KITANZANIA...

TULIDHANI ATAANDIKA KITABU KUHUSU BABA YAKE MZEE FORTUNATUS MASHA kwanini alikosana na Mwl. Nyerere

akakimbia ubunge wake wakati ule alikuwa mbunge wa UVINZA? Kwanini wanaweka siri?
 
Huyu jamaa anadai aliwafanyia mambo makubwa sana wana Nyamagana!Tunamwomba arudi tena agombee ili akaombe tena msamaha kwa kushindwa tena kwa kishindo!

Alisomesha watoto 200; Na Kuleta CHUO CHA POLISI... Jamani nani ataona hayo kama Mafanikio? Mwanza

Kuna Matatizo ya Nyumba watu wanaishi Milimani, Maji shida, Afya mbovu... Usafiri Matatizo; Yeye ni Kwenda CLUB

Na GARI LA DORIA LA POLISI na MABODY GUARD PALE MWANZA...
 
Jamaa alikuwa na dharau kwa polisi alikua anawaita vijana wake wakati ni wazee na ni maofsa wakubwa wa jeshi,hicho ndo ilimfanya rpc wa mwz wakati huo kumtahadhalisha kama ataendelea kufanya makida makida rpc angewaamuru polisi watoke jiji waachie raia wajichukulie sheria mikonon
 
Alisema eti hakuna VITABU VYA KUELEZEA HISTORIA YA WANASIASA WA KITANZANIA...

TULIDHANI ATAANDIKA KITABU KUHUSU BABA YAKE MZEE FORTUNATUS MASHA kwanini alikosana na Mwl. Nyerere

akakimbia ubunge wake wakati ule alikuwa mbunge wa UVINZA? Kwanini wanaweka siri?
Mbona ugomvi wa mzee Masha na Nyerere si siri? Hawa walikuwa wanafanya njama za uasi ndani ya TANU na Mwalimu akawafukuzilia mbali kwa misingi kuwa kama huwezi kutoa maoni yako ndani ya vikao kwa nini uende nje uanze kuandaa uasi wa maamuzi yaliyokwishapitishwa?
 
Back
Top Bottom