Mr Mayunga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 313
- 40
Hebu watendaji wa wilaya za kusini msiweke siasa kwenye hili,igeni mifano kwenye wilaya zingine.Kesho tar.6 inasemekana semina kuhusu sensa zinaanza sa 2 asubuh!lakini mpaka sasa majina ya makarani bado hamjayatoa hivi maana yake ni nini?inaonyesha jinsi mipango ya maendeleo mengine yanavyokwenda, Utawala huo sio mzuri hatakidogo,kwa staili hii maendeleo kusini yatachukua mda mrefu.Hebu badilikeni.