chadema inahitaji msaada wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema inahitaji msaada wako

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaka mwisho, Aug 4, 2012.

 1. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  pamekuwa na maneno mengi sana kuhusu chama cha chadema kinavyoendesha shughuli zake. Tunawaomba wenye mapenzi ya dhati na chama chetu mtuambie chochote ambacho si kizuri kwa maendeleo ya chama NA NINI TUFANYE ILI CHAMA KIZIDI KUWA IMARA ILI IFIKAPO 2015 KISHIKE DOLA KWANI UWEZO NA NIA KINAYO. PEOPLE'S POWER FOREVER
   
 2. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  acheni udini, ukabila, ukaskazin na huyo kijana ache ufisadi maana ruzuku yote inaishia kwenye matumbo ya watu na sio kujenga chama.halafu tabia ya kumchamfua zitto kwa kuhofia uwezo acheni.
   
 3. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 637
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mambo mengi yanayozungumzwa ni kudakia kwan y vibaraka humu ndan na vibaraka wa ccm! naona haina umuhimu saana!
   
 4. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 637
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hv kwa nin kuna vijamaa humu jf vina udin vinapandhkizia kwa cdm ngoja mgombea wa ccm awe mkristo cjui vitaenda wap duu!
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,934
  Likes Received: 37,152
  Trophy Points: 280
  Tuambie basi wapi tunapaswa kupeleka maoni yetu? Kuyaweka hapa nomaaaa magamba watayachota kama yalivyo na kuyafanyia kazi (si unajua hawana sera wanangoja kuona CHADEMA inafanya nini ili nao waige) .

  Mie yangu nimeshafikisha baadhi na bahati nzuri niliyemtumia ameyapokea vizuri sana na kunipa moyo zaidi wa kuendelea kufanya hivyo.


   
 6. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  nashauri fedha ikiruhusu ifunguliwe redio CDM , Ambayo wadau watapendekeza jina hapa, iwe inapatikana nchi nzima kama RFA ,hii itasaidia sana kukifikisha chama vijijini
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,836
  Likes Received: 1,310
  Trophy Points: 280
  Mkuu naona tambi zinalewesha siku hizi
   
 8. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 2,596
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  hakuna shida chadema mwendo huo huo .ila wajitaida kukwepa kesi zakutungwa .kwani sasa ccm wamegeuka waainjilisti na hiyo kisiasa ni dalili za kufilisika kisiasa .wanatafuta paa kujishika .
   
 9. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 2,596
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  hakuna shida chadema mwendo huo huo .ila wajitaida kukwepa kesi zakutungwa .kwani sasa ccm wamegeuka waainjilisti na hiyo kisiasa ni dalili za kufilisika kisiasa .wanatafuta paa kujishika .
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Acha ufinyu wa kufikiri kabla ya kuja humu Ndg yangu!


   
 11. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cdm m4c tutashinda tu cha msingi na kikubwa cdm chama changu ambacho nina imani nacho kifanye juhudi za makusudi kuondoa chuki ya udini ulio pandwa 2010 kupitia maneouver ya simu na nyumba za ibada cdm m4c.
   
 12. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,016
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  We ni mgonjwa wa brain.
   
 13. m

  maswitule JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,387
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hakuna ukabila na ukasikazini ndugu yangu CHADEMA ni ya watanzania maana kila pembe ya nchi kimekubalika, Pwani kawe na Ubungo, Kaskazini Arusha na Moshi, Kanda ya Ziwa Mwanza na Shinyanga na hata Musoma, Magharibi, Mpanda na Kigoma, Nyanda za Juu Mbeya na Iringa, Kati Singida sasa nchi wewe unaigawaje? Labda mimi sielewi nieleweshe
   
 14. U

  Udaa JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  safi sana mkuu kwa kutoa ufafanuzi,maana majingajinga mengi yanapandikiza chuki ili wtz tuikose imani kwa chama kiongozi.CDM MWENDO MDUNDO MPAKA KIELEWEKE.
   
 15. Kaka mwisho

  Kaka mwisho JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  tatizo chadema hawataki uongozi wa juu uchukuliwe na watu kutoka sehemu nyingne tofauti na arusha na kili.
   
 16. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,814
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mgombea urais chadema atoke zanzibar
   
 17. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,630
  Likes Received: 1,481
  Trophy Points: 280
  Acha unafki wataje .. matatizo ya CDM ni 3

  a ) Udini "tatizo kubwa sana" ---- chadema ni anti Muslims ( FACT)

  B) Ukabila

  c) Ukanda
   
 18. M

  Mkandara Verified User

  #18
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,441
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ungejitambulisha kwa jina lako la ukwlei tungekuelewa zaidi..
   
 19. a

  abousalah2 Member

  #19
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muache kujiona munajua kila kitu. muache majivuno , vibri juu ya maamuzi ya watu! mfano uamuzi wa wazanzibari kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. inaonekana CDM hamukupendezewa! na munanasabisha na ndoa ya ccm na cuf! udini umetawala mno hata kujilabu na ukatoliki! nakumbuka hata rais amewahi kuitwa shetwani kisa ni muislam ! uchaguzi uliopita CDM mulifanya udini wa wazi! lazima murejeshe mahusiano na cuf ndio wenye karata ya ushindi wa wapinzani!
   
 20. m

  mliberali JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 2,107
  Likes Received: 686
  Trophy Points: 280
  udini CDM NI UPI? UDINI NA UKABILA UNATUMIWA NA CCM KUISAMBARATISHA CHADEMA LAKINI MUDA SI MREFU HIZI PROPAGANDA CHAFU ZITASHINDWA,WATANZANIA WATAUJUA UKWELI. KAMA CHADEMA NI WDIDINI(UKIRISTO) ZITO, PROFESA SAFARI, SAID ARFI,HALIMA MDEE, NA MWANZILISHI BOB MAKANI NI WAISLAMU,

  SWALA LA UKANDA SI ISSUE KWANI CHAMA KIKIANZISHWA LAZIMA KIANZIE SEHEMU MOJA YA NCHI ALAFU KISAMBAE NCHI NZIMA, VIVYO HIVYO TANU ILIANZIA PWANI (DAR) IKASAMBAA NCHI NZIMA

  PROPAGANDA ZA UKABILA NCHI HII HAZIKUANZA LEO MIAKA YA NYUMA ZILIWAHI ENEZWA DHIDI YA KABILA MOJA KUTOKA KANDA YA ZIWA IKAFIKA PAHALA WATU WAKAACHA KUTUMIA MAJINA YAO YA ASILI INGAWA HAISEMWI SANA ILA WAMETESEKA SANA NA HIZI PROPAGANDA CHAFU NA T-HATUJUI WAMEUMIZWA KISI GANI NA HIZI PROPAGANDA MUFILISI.

  SASA NI ZAMU YA WATU WA KASKAZINI, HATUJUI KESHO WATAHAMIA WAPI, NADHANI WATAENDA KANDA ZA JUU KUSINI KWA AKINA DK. ULI.....

  MNAOSHADADIA UDINI NA UKANDA WA CHADEMA! SISI WATANZANIA HATUWAELEWI! MIMI NI MWISLAM NA NA NATOKEA KANDA YA ZIWA. NAWAKUBALI CHADEMA,HAIJALISHI KAMA MWANZILISHI WA CHAMA HIKI ANOTOKEA KASIKAZINI, KWANI SI MTANZANIA??? NA VILE VILE HAIJALISHI KAMA CDM KINAUNGWA MKONO NA WATU WENGI KUTOKA KASIKAZINI.

  NI KWA SABABU WANA UWEZO MKUBWA WA KUPAMBANUA MAMBO KWA HIYO NA SISI WATANZANIA WENGINE TUWAUNGE MKONO.ILI CHAMA KISAMBAE NCHI NZIMA

  SIJAWAHI KUSIKIA MTU ANAYETAKA KADI AU KUGOMBEA UONGOZI NDANI YA CDM ANULIZWA DINI AU KABILA WALE WANAO DAI CDM WAKABILA NA WADINI WAWE WA KWANZA KUCHUA KADI AU KUGOMBEA UONGOZI KULIKO KULALAMIKA KAMA KWELI WANA DHAMIRA SAFI AU WAO SIYO WADINI ILI WAKIBAGULIWA WAIDHIHIRISHIE DUNIA MADAI YAO
   
Loading...