Nape tueleze; serikali imeishiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape tueleze; serikali imeishiwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ELFU-ONEIR, Aug 4, 2012.

 1. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii serikali inayoongozwa na ccm ilisema tuipe madaraka ya kuongoza ili watuletee maisha bora lakini badala yake .......
  1. Haiwezi kuwalipa walimu,
  2. Haiwezi kulipa madaktari,
  3. Haiwezi kuzuia mfumuko wa bei,
  4. Haiwezi kuwawajibisha wafuja mali ya umma,
  5. Haiwezi kutenganisha siasa, utawala na biashara,
  6. Haiwezi kuboresha maslahi ya polisi,
  7. Haiwezi kupunguza safari za raisi nje ya nchi,
  8. Haiwezi kuingia mikataba mizuri ya madini kwaajili ya taifa zima,
  9. haiwezi kuzalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya wana nchi wake,
  10. Haiwezi hata kuthibitisha kama mlima kilimanjaro upo tanzania,
  11. Haiwezi kujenga miundo mbinu bila kuchukua hela ya wafanyakazi huko kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
  12. Na pia haiwezi hata kulipa fedha ambazo imezikopa kutoka katika mifuko ya hifadhi ya jamii.
  13. Yaan aibu .........
  14. Hauwezi,..........
  15. Haiwezi..........
  Serikali hii imekua ni yakutembeza bakuli huko nje ya nchi

  2015 mtakuja kusema tuwape ridhaa ya kuongoza nchi? Kwa kigezo kipi?
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Bora utawala wa mkoloni kuliko wa CCM!maana mkoloni amefanya makubwa reli,meli mv liemba,victoria,bandari,elimu bora,mashamba na mazao ya biashara baada ya uhuru vyote vimekufa
   
 3. H

  Honey K JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwanza bahati mbaya sana kwako kuwa haya ni mawazo yako binafsi!! Halafu huna uwezo wa kushawishi kura hata moja kwa hoja zako na ndo maana huwezi hata kutumia jina lako halisi na Id yako halisi kwahiyo mtazamo wako hauna madhara kwa Imani ya Watanzania kwa CCM! Enddelea kuamini hivyo, lakini usinune mwaka 2014 na 2015 Watanzania watakapofanya uamuzi usioudhani!   
 4. H

  Honey K JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sio tatizo lako unaitwa BONGOLALA
   
 5. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nape jibu hoja siyo kejeli na mipasho.haijengi ni bora uipotezee kuliko kulipuka.
   
 6. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Nape akiwa attacked personally analalamika, akipewa hoja analeta personal attacks. You want to know why we use fake ID's, ni kwa sababu tuko kwenye ukoloni wa mtu mweusi. Ukipinga chochote kwa nguvu unaishia MambwePande.
   
 7. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nnauye jr kwani ndo nape? Mbona nape alishakana siku nyingi kuwa yeye hayupo JF
   
 8. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  inayotumia mahakama kama mhimili wake kuzima haki ya watanzania
   
 9. U

  Udaa JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  watakucheka wewe,usijifanye huelewi ni jinsi gani hatuwapendi.
   
 10. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waungwana mhishiwa nape analeta dharau. Anahisi kama mimi sina ushawishi. Bt yeye akazane kuwashawishib walimu madaktari, majobless, wamachinga na wengineo yakuwa ccm ndio nkombozi wao then tuone 2015 atatokea mlango gani. Coz kwajinsi tunavyoyataka mabadiliko nikama hata yatokee kesho ili hiki chama cha wakoloni weusi kitie akili.
   
 11. H

  Honey K JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahahahhahahahahahahahaaaaaaaaaa!
   
 12. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lough now, cry later. 2015 mtajibeba au mtumie mahakama kuwapigia kura.
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu jibu Kama kiongozi wa magamba sio Kama muimba Taarabu
   
 14. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,749
  Trophy Points: 280
  Ile ahadi ya kuigeuza kigoma kama Dubai bado mpango hupo?

  Pia ni shukuru kwa ushirikiano wako japo siko upande wako.angalia usipate harufu ya ufisadi maana wewe ni kijana mdogo.
   
 15. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hilo na kigoma kuwa dubali nasita kusema ni day dream....nilikuwa nafuatilia mkutano wao ujawa na sound toka kwa mawaziri wanakumbushia ahadi na mipango ambayo imekuwa ikitumika wakati wa kampeni.kwa kifupi sijaelewa msingi wa mikutano yao nimemuliza Nape theme ya mikutano(jangwani,rukwa na kigoma ni nini?ajajibu.
   
 16. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45

  Mkuu Nape anadai haya ni mawazo binafsi ya mleta hoja kwa hiyo hayana madhara kwa jamii pana ya Watanzania!
  Ningependa kueleza kuwa hata wazee wetu walipoanza harakati za kusaka uhuru,wakoloni waliamini na walidai kuwa hayo yalikuwa ni madai binafsi ya Watanganyika wachache na kwa hiyo koloni lingeendelea kubaki salama!
  Yaliyotokea baadaye sote tunayajua.
  Mkuu Nape nakuhakikishia kuwa huna haja ya kujua majina halisi ya wachangiaji,muhimu ni hoja zao!
   
 17. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160

  Nape Nape Nape!haya tuingoje 2014,
   
 18. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  sasa kakimbia wap?anadevelop skills zake katk fulan hapa!
   
 19. papason

  papason JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Wee kilaza napee!

  kumbe ndio maana mzee makamba alitaka 'kukuchinjia baharini' mshukuru 'sana dhaifu'
   
 20. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,477
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Nape kwa ufupi anatakiwa aseme - TUMETHUBUTU TUMESHINDWA TUACHIE MADARAKA
   
Loading...