Vipi maandamano ya wafanyakazi kupinga sheria ya mafao (Pension) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi maandamano ya wafanyakazi kupinga sheria ya mafao (Pension)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nikupateje, Aug 5, 2012.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kulikuwa na tetesi na hata humu JF kukawa na thread inayoeleza kwamba kungekuwa na maandamano ya amani kupinga kifungu cha sheria ya SSRA kinachomkataza mfanyakazi kuchukua pension yake kabla ya kufikia umri wa miaka 55.

  Ukiachilia thread zile, wengi tulipata email zikizunguka huku na kule kuhimiza petition ijazwe na ipelekwe sambamba na maandamano yale.

  Vipi update maana jana ndiyo imepita, je kuna lolote lilifanyika? Maana wengine tuko mbali.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hapa naona ni kupigana kisekta sekta, naona sekta ya madini wanakaribia kuigaragaza NSSR.
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Tatizo watanzania hatuko siriasi, Hii ishu utazania inawahusu wafanya kazi wa migodi pekee, Wafanya kazi wengine wanasubiria wa migodi wagome, Hata kuwaunga mkono wafanya kazi wa migodi imekuwa ngumu sana, WAFANYA KAZI WANABAKIA KUANDAMANA OFFISINI NA KULIA LIA TU BILA VITENDO,

  Na hata kama yangekuwepo usingeona mtu sana sana wangeandamana wasio wafanya kazi, MABADILIKO KATIKA NCHI HII YATACHELEWESHWA NA WAFANYA KAZI, cheki juzi wakina MKOBA wanakuja na Migomo ya kuzugu na kudanganya uma,

  WAFANYA KAZI WA TANZANIA WAKAJIFUNZE SOUTH AFRICA, KENYA, UGIRIKI na kwingineko
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Washaigaragaza kitaaaamboooooooo!
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  It begins with you!
   
Loading...