JUMAMOSI, AGOSTI 04, 2012 05:29 NA MWANDISHI MAALUMU, MONDULI
WAZIRI Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, amemweleza Rais Jakaya Kikwete kuwa ni rais wa kwanza katika historia...
Hongera Jaji Munuo
JAJI Eusabia Munuo wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania ameteuliwa kuwa makamu Rais wa Chama cha Majaji Wanawake Ulimwenguni (IAWJ).
Uteuzi huo uliotangazwa jana kupitia...
Graft claims: Bunge credibility in danger
Sunday, 05 August 2012 01:44
The Citizen Reporter
Dar es Salaam
Corruption allegations, absenteeism and flagrant disregard for rules...
Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kupitia viongozi wa Baraza la VIjana Taifa la chama hicho (BAVICHA) kimefanya ziara ya kichma katika mikoa ya Rukwa, Iringa, Njombe na Katavi ambapo...
Serikali imelifungia gazeti la MWANAHALISI. Wiki hiyo hiyo Rais Kikwete akawaalika wahariri kwenda kuongea nao Ikulu. Akawaagiza waandike maswali na kuyatuma mapema. Wakatii na kuyatuma. Orodha ya...
As massive poverty continues to rock the majority of Tanzanians, the latest data reveal that Tanzania's wealth in terms of the top five metals out of eleven provable mineral deposits amounting...
Economic Partnership Agreements (EPA) were launched in Brussels on 27 September 2002 to be conducted in two phases. The first phase is conducted at "All-ACP"-EU level and takes on board...
Written by Ashakh (Kiongozi) // 04/08/2012 // Habari // 3 Comments
Na Restuta James
3rd August 2012
Wabunge wameishauri serikali iunde chombo kimoja kitakachosajili na kusimamia usafiri wa...
NI jambo jema kwamba Spika wa Bunge, Anne Makinda ameunda kamati kuchunguza tuhuma za ufisadi bungeni, baada ya baadhi ya wabunge katika Kamati ya Kudumu ya Nishati na Madini kutuhumiwa kuhongwa...
Napenda japo tu nielezwe kama kweli wabunge wetu wanajuwa kiingerza au ni wavivu wa kusoma? ikumbukwe sheria ya marekeebisho ya hifadhi ya jamii ilipitishwa kwa mbwembwe mwezi aprill mwaka huu...
The 2012/13 budget session of the Ministry for Justice and Constitutional Affairs debated on the 13th July 2012 was questioned by the opposition over its lavish spending on the Warioba...
Bila kujali itikadi za vyama ningeomba watu wenye uchungu na uzalendo na nchi hii watutengenezee muhtasari ambao utatumika kama dira kwa watu kutoa maoni yatakayotupa katiba nzuri. Najua watu...
Nimemwona Shighela wa UVCCM akiwaasa wabunge vijana wa CCM kushikamana kuipinga sheria kandamizi iliyopitishwa na bunge mwezi april?
Je, wabunge hao vijana wa CCM wakati inapitishwa...
Mh Mnyika hongera sana kwa kuamua kuwa sauti ya wanyonge. Mimi ni mmoja wa wanufaika wa mafao ya kujitoa na najivunia kusema bila withdrawal benefit nisingekuwa hapa nilipo kielimu na kimaendeleo...
Rais wa CWT na kaimu katibu wake watakuwa ndani ya TBC Taifa muda mfupi kutoka sasa katika kipindi cha asubuhi hii; kaa tayari kusikiliza kitakacho ongelewa.
USClinton, on Africa trip, visits Malawi
Hillary Rodham Clinton – Photo: AP
Hillary Rodham Clinton – Photo: AP
LILONGWE, Malawi (AP) - U.S. Secretary of State Hillary...
Sunday, 05 August 2012 01:14
Elias Msuya, Mpanda
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameingizwa katika mgogoro wa ardhi unaotaka vijiji 23 kuhamishwa katika maeneo vilipo, wilayani Mpanda Mkoa wa...
Babu wa Loliondo katutingisha sana. Serikali yote ilihamia Loliondo kunywa kikombe. Wabunge walitiririka, raia wa kawaida tukaamini kwamba Tulipata ukombozi wa Kiafya. Kila mtanzania angeyapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.