Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,540
- 36,999
Nasubilia kauli ya mfalme kama aliyosema ni kweli atatekelezaNi muda muafaka Bashite kurudi kuendelea na kazi yake ya upishi kwenye meli ya wagiriki.
Nasubilia kauli ya mfalme kama aliyosema ni kweli atatekelezaNi muda muafaka Bashite kurudi kuendelea na kazi yake ya upishi kwenye meli ya wagiriki.
Poleeeeeeeeeeh afu weee ulinirusha roho khaaaaaahHahaha..ila watu hawampendi Makonda aiseeh.
Ila pia nwashangaa waliompa hizo kura mia na zaidi....wametumia kigezo gani?
Jamaa kaachia uRc akidhani ana pendwa
Sasa wenye Kigamboni yao wameamua.. UtakutaMakonda ndie kalipia live coverage
Atakua aliwasambazia mpunga... Si bure.Hahaha..ila watu hawampendi Makonda aiseeh.
Ila pia nwashangaa waliompa hizo kura mia na zaidi....wametumia kigezo gani?
Mtanikuta hapa samaki samaki au twendeni mlimani cityKamati ya roho ya mbaya tunakutana wapiiii wapi Genta
Mbona nimeona wamesema ameshinda?
Harisha kabisaNakunya hapa na kigamboni
Hapa bado sijaelewa
Hautaki ashinde?Poleeeeeeeeeeh afu weee ulinirusha roho khaaaaaah
Woyoooooooooooooooooh makonda na mwanry chaliiiiiiiiiiiiiiiiiihWeeee
JESUS IS LORD![]()
Kura si siri! Nakula pesa na kura nampa ninayeona atakuwa kiongozi mzuri.Atakua aliwasambazia mpunga... Si bure.
Wamekula vijisenti,kura wamempa Ndugulile.
Woyoooooooooooooooh
Hayo ni maoni tu kwa kamati kuu Kama Yale maoni ya wadanganyika kwenye rasm ya katiba mpya yaliyokuja kupinduliwa na mh sana samweli sitta na genge lake wakiwemo Makonda na Magufuli Kisha kuzikwa kabisa na Magufuli.Kwa mkitadha huo plus namna tunavyoshughulikia suala la Covid_19 namtangaza makonda Kama ndiye mpeperusha bendera la chama kubwa Africa katika kuzalisha masikini dunia kwa kufisadi na kuiba Mali za Wanyonge wa nchi hii yaani ccm
Ashinde kwa kipi? Ili iweje kwanza? Akafie hukoooooohHautaki ashinde?