kura za maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Little Fingers

    JamiiForums Tanzania Malalamiko Katika Kura za Maoni kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Isimani, Iringa

    Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika kura za maoni za uteuzi wa Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wameibuka na malalamiko wakidai kutoridhishwa na mchakato uliotumika kuwashindanisha wagombea hao. Wajumbe hao wamesema kuwa kuna viashiria vinavyoibua wasiwasi juu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rasmi Mfanyabiashara Maarufu Nchini Fred Vunja Bei Aibuka Kidedea Kura Za Maoni Jimbo La Isimani. Akomba Na Kuzoa Kura 2703.

    Ndugu zangu Watanzania, Matokeo ya Mwisho yametoka na kuonyesha Mfanyabiashara Maarufu Nchini kwetu na nje ya Tanzania Fred Vunja Bei akiibuka kidedea na kwa kishindo kikuu kwa kuvuna kura 2703 Soma hapa 👉Mfanyabiashara Fred Ngajiro almaarufu Fred Vunjabei, ameshinda kura za maoni katika...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja Bei aongoza kura za maoni matokeo ya awali kumrithi Lukuvi. Awatupa wenzake mbali kama mshale

    Ndugu zangu Watanzania , Habari ndio hiyo ya kuwa Mfanyabiashara Fred Ngajiro (Vunjabei) ameibuka kinara katika kura za maoni za kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani, Lukuvi, huku akiongoza katika kata nyingi zilizopigwa kura. Kwa mujibu wa matokeo ya awali, Vunjabei...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari Manyerere Jackton akiri kwa mchakato wa maoni CCM uligubikwa na rushwa

    Wakuu Akizungumza alipokuwa katika mahojiano kwenye kipindi cha Medani Kuu na Edwin Odemba alisema: “Nilishindwa Uchaguzi ndani ya CCM kwenye kura za maoni 2025 katika Jimbo la Butiama kwa kuwa sikutoa Pesa wenzangu walitoa"
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Victor Mhagama aongoza kura za maoni jimbo la Peramiho ( 3040)

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Songea Vijijini mkoani Ruvuma, Juma Nambaila, akitangaza matokeo ya kura za maoni katika Jimbo la Peramiho.Walioongoza ni Victor Mhagama kura 3040. Getrude Haule kura 2913 na kizito Mhagama kura 943 na baada ya hapo mchakato unaofuata vikao vya ngazi...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utafiti wa CIP-Africa: Dkt. Samia aongoza kura za maoni kwa asilimia 84.5 kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Nimeona hii ni mashairi tu yanaendelea kumpendezesha huyu mama Kizimkazi hakuna lolote hapo. Je Lissu angeshiriki ingekuwaje maana na amini kwa asilimia kubwa watu wangempigia kura hizo za maoni bwan Lissu, na je wangetangaza? ================== Kituo cha Sera za Kimataifa-Afrika kwa kiingereza...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Michael Kimbaki aliyekuwa Mbunge wa Tarime Mjini asema haungi mkono Ubunge kuwa na ukomo wa Miaka 10

    Michael Kimbaki, Mshindi wa Kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuwania Ubunge Jimbo la Tarime Mjini, amekubali maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM yaliyompendekeza Ester Matiko kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo hilo. Hata hivyo, Kimbaki amesema haungi mkono wazo la kuzuia Wabunge...
  8. Girland

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, CCM imeheshimu maoni ya wajumbe kwenye kura za maoni uchaguzi wa wabunge wa CCM? Au ni kuwasumbua tu wajumbe?

    TUJIULIZE JE,Kuna haja ya wajumbe wa CCM kupiga kura ya MAONI ilhali wakijua ni NEC ndiyo inachagua Wabunge?.Je kufanya hivi siyo kuliuza haki za wajumbe waliopiga kura?.Baada ya Kamati kuu ya CCM yaani NEC kutangaza majina ya wagombea ubunge wa CCM ,Vilio vimesikika maeneo mbalimbali ya...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanatuletea mtu ambaye hatukumchagua, maana ya kura za maoni ni nini?

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini wameandamana kwenye ofisi za Chama hicho kupinga hatua ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa kumuengua mshindi wa kura za maoni katika jimbo hilo Michael Kembaki na kumteua Esther Matiko aliyeshika nafasi ya tatu kuwakilisha chama hicho kwa ngazi...
  10. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni wangapi umu Jukwaani Mmeshagundua mchezo wanaoucheza CCM? Wa kuengua Walioshinda kura za maoni na kuweka walioshindwa!

    Kiukweli nasikitika sana kuona kadri miaka inavyoenda Jukwaa hili linazidi kuwapoteza watu ambao ni Great Thinkers na badala yake Jukwaa kwa sasa lmejaa watoto ambao ata kung'amua michezo kama hii wa nashindwa! Iko hivi,. CCM wa nachokifanya ni kuwaengua wale watu ambao walipata kura nyingi...
  11. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi kura za maoni za Wajumbe zinamaana gani ikiwa NEC ndio waamuzi wa uteuzi wa wagombea??

    Tulishuhudia kwa Magufuli 2020 Walioshinda kura za maoni hawakuteuliwa, wakaja kuteuliwa mpaka walioshika nafasi ya tano..!!! Imefika 2025, Samia nae hivyohivyo, Wagombea walioshinda wamekatwa. Kwa utafiti wangu mdogo ni wabunge 10 ambao walishinda kwenye kura za maoni ila wamechaguliwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa sana kama aliyeongoza kura za maoni jimbo la Rorya atateuliwa

    Kamati Kuu ya CCM iko kwenye mchakato wa kupitia majina na kuwateua wale watakaopeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi ujao. Binafsi nitashangaa sana kama CCM itamteua mtia nia aliyeongoza kura za maoni Jimbo la Rorya . Huyu mtia nia hakushinda kwa haki.
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nawasihi watia nia wa CCM tuliopigiwa kura za maoni kuwa watulivu na kujiandaa kisaikolojia Agosti 23, 2025

    Lolote linaweza kutokea na yeyote miongoni tuliopigiwa kura za maoni anaweza kupendekezwa na kamati kuu ya ccm taifa na akaidhinishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa, kua ndie atakaepeperusha bendera ya ccm uchaguzi mkuu wa october29,2025. CCM haina cha kupoteza uchaguzi mkuu huu, na yeyote...
  14. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Msalala, Kura za maoni ni kama lilikuwa gulio la kura

    Kinyang'anyiro cha kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kusaka Wagombea Ubunge, uwakilishi na udiwani kilichofanyika nchini kote Agosti 4, 2025, kimefichua hatari kubwa inayokikabili chama hicho kikongwe ambayo kama haitadhibitiwa haraka basi kinaweza kuleta shida. Uchunguzi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ninaiomba halmashauri kuu ya taifa kuchunguza ushindi wa mgombea aliyeongoza kura za maoni jimbo la Rorya

    Ratiba ya uteuzi wa watia nia kwa nafasi ya Ubunge inaanza tarehe 22 Agosti, 2025. Tayari kura za maoni zilikwishapigwa katika Majimbo yote. Kuna habari kuwa Katika Jimbo la Rorya wapiga kura wengi walinunuliwa kwa Rushwa na hivyo mshindi aliyeshika namba moja hakushinda kwa halali. Ninaiomba...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Butiama: Wanachama wa CCM walalamikia kuenguliwa kwa jina la Mgombea udiwani aliyeshinda kura za maoni

    Hofu imetanda kwa baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Nyankanga, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara, (wajumbe) baada ya uwepo wa fununu za kuenguliwa kwa mtia nia wa nafasi ya udiwani katika Kata hiyo Bw. Emmanuel Musuya, aliyeongoza katika kura za maoni na...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wana CCM Kondoa Vijijini wataka mchakato wa kura za maoni urudiwe

    Wanachama wa CCM Kata za Bereko na Kisese, wilayani Kondoa, mkoani Dodoma, wameuomba Uongozi wa CCM Taifa, kurudia kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani na Ubunge wa Jimbo la Kondoa Vijijini, wakidai uchaguzi huo uligubikwa na vitendo vya rushwa ili kutoa fursa kwa wananchi kupata kiongozi bora...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina adai kuenguliwa kwa baadhi ya Wabunge kura za maoni CCM kunalenga kulea ufisadi

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kura za maoni zimefanya niwadharau Arusha mjini na Segerea

    Inakuwaje mnachagua mbunge mamluki aliyeishi jimboni miaka miwili tu Arusha mna akili kweli Segerea mnachagua Barabara mbovu jimboni
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto ambwaga Nondo kura za maoni ubunge Kigoma Mjini

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kura za maoni za kuwania Jimbo la Kigoma Mjini uliofanyika jana Jumanne Agosti 12, 2025. Katika mchakato huo uliofanyika mkoani Kigoma, Zitto ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT Wazalendo, alipata kura 228...
Back
Top Bottom