Nashukuru Mungu nimetimiza haki yangu kikatiba, Udiwani na Ubunge nimechagua CCM, Urais nimempa Lissu.


Najua Lissu hawezi shinda ila nimempigia kumuonyesha kuwa kuna watu tupo pamoja na yeye ingawa tupo CCM.

Kama uko pamoja naye kwanini usimwalike

mkanywe alikasusu.
 
Niliamka mapema na mke wangu kwenda kituoni kupiga kura. Saa 7.05 nilikuwa kituoni.

Mke wangu hajaweza kupiga kura kwakuwa jina lake halikuonekana kabisa pale kwenye daftari. Na walikuwepo wengi ambao majina yao hayakuwepo mahala ambapo yalitakiwa yawepo. Na yeye ni mfanyakazi amelazimika kuwahi kazini.

Naomba tume itoe tamko itatue hizi changamoto mapema kadiri inavyowezana kabla hatujafika mchana.
Majina yalibandikwa vituoni siku chache kabla ya leo, je alienda kuhakiki?
 
Mapemaaa,asubuhi kabisaHalima Mdee kwisha habari yake.
Jimbo la kwanza kurudi CCM ni Kawe.
 
Sijalemba yani sijahangaika kusoma Kwingine
Nimemuona Jiwe nika tia Tick ya Maana sana Nadhani NEC wataniita Kuwa mtia tick bora Tanzania bara

Sahivi kuna Maandalizi ya Tafrija Fupi ya kupokea ushindi wa JPM
Umeua mkuu,

Amasterdam hana hamu saa hii
 
John Heche, Chadema's Parliamentary Candidate for Tarime reports that homes of many polling agents in his area were invaded at night by the police who then detained them. As a result, there are no opposition agents in many polling centers.
Chai hii😁😁😁😁

Polisi walijuaje nyumba za hao mawakala?😁😁😁
 
Kituo nilicho pigia kura hakina watu kabisa.

Nimekuta watu 10 mimi nikiwa wa mwisho. Mpaka sahizi mtu ni moja mmoja sana. Mwitikio umekuwa mdogo sana watu kupiga kura
 
Ni niilichokiona hasa kwa wenye uono hafifi hasa watu wazima.

Hii ni kwenye karatasi ya Wagombea Urais, picha na maandishi ni madogo chini ya wastani. Kumtafuta na kumpata mgombea aloyeko katikati ni kazi kubwa kuliko kuona wa mwisho au wa mwanzo.
 
Nimerudi nyumbani nipo nimetulia tuliiii,naburudika.

Mawakala wa Amsterdam waliopo vituoni mpaka Sasa hawajanywa chai,nimewauliza kulikoni wanasema eti wamefunga
D, D, D, wamefunga funga ipi sasa,kwaresma au mweze wa ramadhani?
 
Back
Top Bottom