So Dereva hatakiwi kuhojiwa?
Wameshindwa kumuhoji aliyeshambuliwa wanamtafuta dereva wamtishe. Sitetei dereva kutokuhojiwa, lakini hakuna uchunguzi maana muhusika anaeleweka, na hakuna uwezo wa kumchukulia hatua labda ccm itolewe madarakani fullstop.
 
Hivi unafanyaje tathmini ya uwingi au uchache wa wapiga kura kwa kituo kimoja tu ulichopigia kura?
Unajua maana ya watu 29m+, hiyo ni nusu ya watanzania wote. Hata wangejitokeza watu 15m tu, kungekuwa na misururu hadi sasa. Ni hivi, watu wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
 
Kulingana na post ya Freeman Mbowe insta, yupo katika hali ya hatari sana Sabaya na Ocd wa hai wanaongoza genge la uharifu dhidi yake sijui wanataka kumteka
Huyo Sabaya Wamachame mbona wanamlea sana? Ndiyo maana Wakenya huwa nawapenda, hawapendagi ujinga huyu kunguru tungekuwa tulishamlia matanga!
 
Hawa watu wana hoja za ajabu sana.Hata ingekua tofauti na sasa wangelalamika tu

Sio kweli acha upotoshaji usio na tija. Mfumo wa alphabetical order wa vyama ndio standard. Mbona kwa wabunge na madiwani hatujaona huo uhuni wa kitoto? Mambo ya hivyo ndio yanachangia watu kupuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
 
Hiyo standard unatumia reference zipi?Kuna sheria inaonesha hivyo?Umeambiwa wameangalia wakwanza kurudisha form hadi wa mwisho kwanini nayo isiwe standard?Hata kwenye application nyingi utakuta wana namna yao ya kuchukua watu,Wa kwanza kuapply anakua wakwanza kuchukuliwa.
 
Unajua maana ya watu 29m+, hiyo ni nusu ya watanzania wote. Hata wangejitokeza watu 15m tu, kungekuwa na misururu hadi sasa. Ni hivi, watu wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
Mkuu watu wanapiga kura then wanaondoka kuendelea nashuhulizao nyingine.

Alafu kuna vizimba vya kutosha ukifika hushangai shangai, watu wana pigakura fasta kwasababu huduma ipo fasta pia kwa waelekezaji.

Nawapongeza tume kwa hili.
 
Kura hazipigiwi kwenye mtandao, wewe unaelimu gani?
Wakizima mtandao hakuna mahusiano na upigaji kura.
Kura zikipigwa watu wana maisha yao binafsi yanaendelea ya kwenye kuuza bidhaa na kuwasiliana kwenye mitandao, nina elimu zaidi ya uiyo nayo mara kumi, anayezima mtandao ni mgombea yeye ndiye mwenye mamlaka ya kufanya hivyo si wmingine, na kwann azime siku ya uchaguzi na si siku zingine za kawaida tafsiri yake ni kwamba kuna kitu anataka afanye wakati huu wa kupiga kura.
 
Sio kweli acha upotoshaji usio na tija. Mfumo wa alphabetical order wa vyama ndio standard. Mbona kwa wabunge na madiwani hatujaona huo uhuni wa kitoto? Mambo ya hivyo ndio yanachangia watu kupuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
Kwa hiyo hujapiga Kura?
 
Magufuli mitano Tena
Nshapiga kibra msaliti na raia wa Brussels!
IMG_20201028_123350_2.jpg
 
Hiyo standard unatumia reference zipi?Kuna sheria inaonesha hivyo?Umeambiwa wameangalia wakwanza kurudisha form hadi wa mwisho kwanini nayo isiwe standard?Hata kwenye application nyingi utakuta wana namna yao ya kuchukua watu,Wa kwanza kuapply anakua wakwanza kuchukuliwa.

Uza ubongo huo unakaa nao kwa hasara. Nimekuambia mbona hatuoni hali hiyo kwenye udiwani na ubunge? Hicho kichwa naona ni kibebeo cha meno tu sioni zaidi ya hapo.
 
Wewe si ni mpiga zumari wa CCM
Mpiga zumari gani anaandika mada kama hizi?????
 
Back
Top Bottom