Mkuu watu wanapiga kura then wanaondoka kuendelea nashuhulizao nyingine.

Alafu kuna vizimba vya kutosha ukifika hushangai shangai, watu wana pigakura fasta kwasababu huduma ipo fasta pia kwa waelekezaji.

Nawapongeza tume kwa hili.

Mkuu narudia tena, unajua maana ya watu 29m+?
 
Kwa hiyo hujapiga Kura?

Mkuu una shaka na mimi kupiga Kura? Nazungumzia watu kutokuwepo kwenye vituo vya kupiga Kura. Nimejaribu kupita kwenye vituo kama 15 kuona idadi, na wakati huo huo nasikiliza na redio. Nimefikia hatua ya kuhoji baadhi ya waangalizi wa vituo, na walinzi kadhaa. Ninaongea kwa uhakika kuwa watu wamepuuza zoezi la kupiga kura.
 
ila kuna watu mnajuaa kujichoshaa jamanalafu ukute ni mwanaume na kengele zako mbili unaakaaa kabisa unaandikaa huu ujinga kma unamke si utumiee hata huo muda kumpapasa kuliko kuandikaa huu ujingaa jaman
Hakuna mwanaume wa hivyo
 
Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election. Tundu Lissu.


#Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar: Is there any water holding evidence on this pitfall allegations? What is well understood by a score of multitude who voluntarily turned up at the polling station is that the CDM MP contestant blatantly accused someone spotted carrying a bag suspected being stuffed with ballot papers and the law enforcement team was notified who timely responded to the call out. The matter handled by the relevant instrument therefore is vital are reserved with their responsibility to accomplish the probe rather than shouting rumors which are yet to be proven.
 
Watu 29m+ wapo nchi nzima na vituo vipo kwa maelfu.

Wewe ulitaka uone watu wangapi kwenye kituo chako.

Fanya hivi kila kituo kina wapiga Kura 400-500 kwa mujibu wa tume. Tuchukulie wako 200. Kama kila mmoja kama atahudumiwa kwa dakika 3, inahitajika masaa 10 wote 200 ndio wamalize kupiga kura. Pita kwenye zaidi ya 75% ya vituo vya wapiga kura, wasimamizi wa vituo wanapiga story na mpiga kura anakuja mmoja mmoja. Ni hivi idadi ya wapiga kura 29m+ ni ya kupika, mbali ya kuwa ni ya kupika, watu pia wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
 
Majizi yanasema yanakubalika halafu yana kura zilizopigwa tayari na wapigaji hawajulikani
 
Back
Top Bottom