Si mlisema mwaka huu ccm watajua hawajui? Kumbe mlikuwa mna maananisha kususia zoezi?
Hakukuwa na haja ya uchaguzi kwani tayari NECCCM Tumeccm wanatembea na matokeo mifukoni mwaoEti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
Nimepiga kura muda wa saa 11:45.
Katika foleni ya watu kumi na ushee hivi kila mmoja anasema kura ni jina mwisho
ukiona hivyo ujue anakwenda kumfyekelea mbali maguNiko naangalia TBC1 hapa, nimecheka hili igizo, eti waziri naye kapanga mstari na mkewe wanasubiri wapige kura! Hivi karne hii wanamdanganya nani wakati kila siku huwa tunasimamishwa barabarani zaidi ya masaa mawili kusubiri wapite?
NEC ya CCM nimeanza kuipinga tokea mwaka 1995!Afadhali leo umeona uzwazwa wa NEC.
Kwanini hawakufuata mtiririko wa kialfabeti?
Dereva wake yupo wapi?
So Dereva hatakiwi kuhojiwa?Huna hoja kaa kimya, hakuna uchunguzi maana muhusika yuko juu ya sheria. Hata hivyo nakusalimu maana hujaonekana hapa jukwaani muda.
Nenda kaangalie idadi ya wapiga kura ilivyo ndogo tofauti na ile idadi ya kupika ya 29m+. Huo ni udhibitisho kuwa wananchi wamedharau zoezi la kupiga kura, maana ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Hiyo itatoa viongozi walioko kisheria lakini wasio na uhalali wa umma.
Kazi iendeleeView attachment 1614584
Naona una macho ya X-ray kumuona mtu akifanya yake chumba cha siri cha kupigia kura. Kwani kituo hicho watu wanapiga kura hadharani? Wee acha uhuni.Mimi ni msimamizi wa uhaguzi kituo flani naona kila mpiga kura anaweka tiki mwanzoni kabisa mwa karatasi ya kupigia kura. Wachaaaaache ndiyo nawaona wakiweka tiki mwishoni mwa karatasi hiyo.
Kwa taarifa za Iringa Msigwa chini atafute kanisa arud kueneza injili
Hivi unafanyaje tathmini ya uwingi au uchache wa wapiga kura kwa kituo kimoja tu ulichopigia kura?Nakuambia watanzania ww unasema habari za ccm! Idadi ya wapiga kura ni ndogo sana ukilingabisha na hiyo idadi ya kupika ya 29m+. Ukiwa mshabiki si lazima uwe mjinga.
Dada usiisahau kunikumbusha ile zawadi yako Mara baada ya uchaguzi na matokeoTumesha sign petition ya Ngurumo, Dunia ujue yanayoendelea Tanzania.
Mkuu kwahiyo hao watanzania waneshindwa hata kujitokeza kumchagua Lisu?Nakuambia watanzania ww unasema habari za ccm! Idadi ya wapiga kura ni ndogo sana ukilingabisha na hiyo idadi ya kupika ya 29m+. Ukiwa mshabiki si lazima uwe mjinga.
Asante mkuu maisha yanaendelea tumtangulize Mungu mbele wakati tukisubiri matokeoBasi sawa mkuu na hongera kwa kupiga kura na kutumia haki yako
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app