Nyani mzee umpige nani? Wewe humo humu toka nikiwa mtoto na sasa ni mtu mzima! Kavae pampas huko! Msukuma wewe kibabu chenye diapers. Halafu una low self esteem! We ni mporipori! Huna hadhi! Hata English haiwezi kukupa hadhi weee mtumwa shoga!
Mangi 2007 ulikuwa mtoto?

Si ajabu ‘mtoto’ wa wanaume 🤣🤣
 
Nimekuelewa. Na ndo maana nikasema kuwa hakuna ugonjwa uitwao UKIMWI. Au upo?

Unapopungukiwa na kinga za mwili, unakuwa susceptible kwa magonjwa mengi.

Na mwishowe hayo magonjwa ndiyo yatakuua.

Sasa ukiugua cryptococcal meningitis ambayo umeipata kutokana na kuwa na kinga hafifu mwilini, ukifa unataka watu waseme umekufa kwa UKIMWI au maambukizi kwenye uti wa mgongo?
Ni semantics tuu hizo. Watu wanakufa kutokana na complications zinazotokana na wao kuwa wameathirika. Chances are wasingekuwa na Ukimwi hayo magonjwa mengine yasingewapata. Ndio maana Mandela alitangaza wazi kuwa mwanae alikuwa muathirika na kifo chake kimesababishwa na status yake kama muathirika. Sisi hatusemi hilo kwa sababu bado huo ugonjwa umekuwa stigmatized. Na ndivyo ilivyo kwa Corona.

Amandla...
 
Anasema ii chama kiwe imara lazma kipite kwenye bonde la mauti
Anasema hata Yakobo alitenguliwa kiuno hvyo hata imemtokea yeye na mwenyekiti na wengine hakuna tatzo ni lazma wapitie hayo
 
Tangu Janga la Corona lianze Wapinzani wote Tanzania wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakibeza na kupinga kila hatua iliyokuwa ikichukuliwa na serikali kwenye kupambana na Corona. Mh Mbowe yeye alienda mbali zaidi akadai Kuna mamia ya watu wanakufa na kuzikwa usiku huku hospital kama Amana na Mloganzila zikiwa zimefurika wagonjwa.
Hawakukubaliana na Chochote kwenye Mapambano dhidi ya Corona badala yake walikuwa wakisifia mataifa jirani huku wakidai serikali ya Tanzania imeamua kuua watu wake makusudi kwa Corona hadi ikafikia hatua wakasusia bunge.

Sasa leo ni ajabu watu hawa wanao amini kuwa kuna mamia ya watu wanakufa kwa Corona Tanzania wanafanya mikusanyiko tena bila tahadhari yoyote.
IMG_20200727_145834.jpg

IMG_20200727_145841.jpg
IMG_20200727_145020.jpg
IMG_20200727_144943.jpg


Huyu nae alikuja akiwa amevaa barakoa ila alipofika JNIA akaivua
Inamaana ameivua kwasababu anajua amefika sehemu salama.
IMG_20200727_145038.jpg


IMG_20200727_153954.jpg

IMG_20200727_154050.jpg


Kwa hali hii tukiwaita wanafiki wala hatutakuwa tumekosea.
 
Naomba kuuliza hivi Mbowe na Lisu nani bosi? Nauliza hivi sababu nimeona Mbowe anatoa taarufa ya chama kwa Lisu sasa hata sielewi kwa kweli. Hata hivyo tunashukuru Polisi wamesikia maelekezo ya kutoingilia msafara kumekuwepo usalama sasa tuwaachie wenyewe wapange mipango yao.
 
Naomba kuuliza hivi Mbowe na Lisu nani bosi? Nauliza hivi sababu nimeona Mbowe anatoa taarufa ya chama kwa Lisu sasa hata sielewi kwa kweli. Hata hivyo tunashukuru Polisi wamesikia maelekezo ya kutoingilia msafara kumekuwepo usalama sasa tuwaachie wenyewe wapange mipango yao.
Sidhani kama ilikuwa kutoa taarifa kwa boss bali ni jambo la kawaida hata mwanao kwa mfano hukuwa naye kwa muda mrefu, akirudi utamjulisha yaliyotokea wakati hayupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza hivi Mbowe na Lisu nani bosi? Nauliza hivi sababu nimeona Mbowe anatoa taarufa ya chama kwa Lisu sasa hata sielewi kwa kweli. Hata hivyo tunashukuru Polisi wamesikia maelekezo ya kutoingilia msafara kumekuwepo usalama sasa tuwaachie wenyewe wapange mipango yao.
Hilo swali kauwaulize wapuuzi wenzio
 
Ulichoona uwanja wa taifa ndio msimamo wa serikali ya CCM. Naulizia msimamo wa CHADEMA juu ya COVID-19 ni upi? Au hukumbuki kwamba walitoka bungeni kwa sababu ya COVID-19? Ukiweka ushabiki pembeni utaelewa vizuri ninachotafuta.

Kwani huo ugonjwa wa Covid ni wa kudumu useme kuwa lazima maamuzi ya siku za nyuma lazima yawe ndio ya sasa? Covid ni ugonjwa wa mlipuko, maamuzi yanafanyika kutokana na hali halisi iliyopo, na hakuna maamuzi static.
 
Back
Top Bottom