mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,841
- 106,044
Mikusanyiko kama ipi labda waizuieKwa nini Mkuu, ikiwa ncho zote zimeweza kuzuia mikusanyiko?
Au unamanisha tupigwe lokdwn
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mikusanyiko kama ipi labda waizuieKwa nini Mkuu, ikiwa ncho zote zimeweza kuzuia mikusanyiko?
Mhuu kwani watu wanakufa sana? au watu wa Kilimanjaro na Arusha tu tunaona Coaster nyingi zikielekea huko. Do you matter at all? Chukaua hatua acha kulalamika.Hivi kwa nini hadi sasa serikali bado inafumbia macho ukweli kwamba Tanzania imefikia hali mbaya sana ya maambukizi, kuugua na vifo vinavyotokana na Covid-19? Ni kwa kuwa raisi na voingozi wengine wanaona aibu kukubali ukweli kwa kuwa huko nyuma walitoa kauli zilizoonyesha kwamba Tanzania hatuna Covid-19?...
Pole Sana, bado uko hai?Hii kitu (COVID-19) imenilaza hospital kwenye oxygen for 3 weeks December 2020.
Mpigie huyu 0783132277 au 0715132277 anaitwa Sele ni mshauri mkuu wa CCM idara ya mitaani club Bar vijiweni kila kona zote zenye mikusanyiko ikiwemo super market, mpigieni mwambieni kwa kuwa alisema magufuli humsikiliza sana nina imani mkimpigia wengi atafikisha salam ikulu kwa haraka zaidi.Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.
Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa...
Serikali wapige marufuku salam za kushikana mikono wasisitize ndoo kukaa kila ofisini zikiwa na sabuni maji tiririkaAwareness kama tunayo inatosha ss kujikinga wenyewe. Serikali haijakataza raia kujikinga na covid...
Na ndiyo maana kupima lilikuwa ni janbo muhimu sana.Nakumbuka mwaka juzi 2019 mwishoni watu tuliumwa sana na hadi leo hatujajua ni nini kilikuwa chanzo, ila kama hali hiyo ingetokea mwaka jana hadi mwaka huu basi tungerahisisha tu kuwa ni corona.
Hawataki kutangaza kupiga marufuku salam za kushikana mikono ili corona isambae wengi wafe wapate pesa nyingi toka WHO wakajengee SGR ambayo ujenzi wake unasuasua kwa UkataRaia tunatakiwa tuiache serikali kwenye mataa!
Anataka watu wafe kwa wingi wavune mapesa tele tokea WHONa ndiyo maana kupima lilikuwa ni janbo muhimu sana...
mkuu serikali ilisha Jenga imani kwa wananchi na ilifanikiwa kwa ilo shida na wasiwasi ni Kama watakili kuwa upo watajenga ofu kwa kiasi kikubwa Jambo ambalo litasababisha mahambukizi yasambae kwa Kasi mkuu serikali inaona na inaendelea kuchukua hatua mbalimbali katika kukabiliana na janga ili la Corona tuendelee kujifukiza na kufanya mazoezi na kufuata tahadhali nyingine zinazoelekezwa na wataharamu wa afya.Hapana, mi nadhani tahadhari ya mtoa mada ina mashiko. Bila kuwaambia watu wote kama ilivyokua mwaka jana, usitegemee watu wa kawaida kuchukua tahadhari, na hilo ni jambo la hatari. Hivyo kuwapa elimu wananchi wote ni jambo bora na jema kuliko kila mmoja kujilinda kivyake, kwani ikitokea hii strain ikasambaa hadi kwa wananchi wengi wewe huoni ni hatari?!
Kwanini unafikiri tunahitaji takwimu?Na ndiyo maana kupima lilikuwa ni janbo muhimu sana.
Rais Magufuli anataka kuendesha nchi kimbumbumbu. Hataki kupima, hataki takwimu! Mtu wa namna hiyo, hivi anatakiwa kuwekwa kundi gani?
Katika Dunia ya kisasa, kila jambo, liwe jema au baya, cha kwanza ni takwimu. Magufuli hataki takwimu. Hivi kweli huyu ni kiongozi anayehitajika kwenye karne hii?
Hata wao hao unaowazungumzia nao wanashikana mikono ina maana nao wamejiweka kundi la hao wanaotakiwa kufa?Hawataki kutangaza kupiga marufuku salam za kushikana mikono ili corona isambae wengi wafe wapate pesa nyingi toka WHO wakajengee SGR ambayo ujenzi wake unasuasua kwa Ukata
Ofisi za serikali kama TRA naona wanavaa barakoa na kuna maji nje.Serikali wapige marufuku salam za kushikana mikono wasisitize ndoo kukaa kila ofisini zikiwa na sabuni maji tiririka
Ukiwa huna akili huna tu, aliyekupa ruksa ya kutoa namba za watu hapa bila utaratibu ni Nani?Mpigie huyu 0783132277 au 0715132277 anaitwa Sele ni mshauri mkuu wa CCM idara ya mitaani club Bar vijiweni kila kona zote zenye mikusanyiko ikiwemo super market, mpigieni mwambieni kwa kuwa alisema magufuli humsikiliza sana nina imani mkimpigia wengi atafikisha salam ikulu kwa haraka zaidi.
Acha kuwa mjinga ww..Acha upuuzi.
Katika mapambano haya ni lazima serikali itoe uongozi. Kuna nafasi ya mtu mmoja mmoja na nafasi ya Serikali.....