Hivi kwa nini hadi sasa serikali bado inafumbia macho ukweli kwamba Tanzania imefikia hali mbaya sana ya maambukizi, kuugua na vifo vinavyotokana na Covid-19? Ni kwa kuwa raisi na voingozi wengine wanaona aibu kukubali ukweli kwa kuwa huko nyuma walitoa kauli zilizoonyesha kwamba Tanzania hatuna Covid-19?...
Mhuu kwani watu wanakufa sana? au watu wa Kilimanjaro na Arusha tu tunaona Coaster nyingi zikielekea huko. Do you matter at all? Chukaua hatua acha kulalamika.
 
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.

Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa...
Mpigie huyu 0783132277 au 0715132277 anaitwa Sele ni mshauri mkuu wa CCM idara ya mitaani club Bar vijiweni kila kona zote zenye mikusanyiko ikiwemo super market, mpigieni mwambieni kwa kuwa alisema magufuli humsikiliza sana nina imani mkimpigia wengi atafikisha salam ikulu kwa haraka zaidi.
 
Hali ni mbaya sana watu wanakufa kimya kimya wanaogopa kusema ni corona kwa hofu ya kutengwa na jamii
 
Awareness kama tunayo inatosha ss kujikinga wenyewe. Serikali haijakataza raia kujikinga na covid...
Serikali wapige marufuku salam za kushikana mikono wasisitize ndoo kukaa kila ofisini zikiwa na sabuni maji tiririka
 
Nakumbuka mwaka juzi 2019 mwishoni watu tuliumwa sana na hadi leo hatujajua ni nini kilikuwa chanzo, ila kama hali hiyo ingetokea mwaka jana hadi mwaka huu basi tungerahisisha tu kuwa ni corona.
Na ndiyo maana kupima lilikuwa ni janbo muhimu sana.

Rais Magufuli anataka kuendesha nchi kimbumbumbu. Hataki kupima, hataki takwimu! Mtu wa namna hiyo, hivi anatakiwa kuwekwa kundi gani?

Katika Dunia ya kisasa, kila jambo, liwe jema au baya, cha kwanza ni takwimu. Magufuli hataki takwimu. Hivi kweli huyu ni kiongozi anayehitajika kwenye karne hii?
 
Hapana, mi nadhani tahadhari ya mtoa mada ina mashiko. Bila kuwaambia watu wote kama ilivyokua mwaka jana, usitegemee watu wa kawaida kuchukua tahadhari, na hilo ni jambo la hatari. Hivyo kuwapa elimu wananchi wote ni jambo bora na jema kuliko kila mmoja kujilinda kivyake, kwani ikitokea hii strain ikasambaa hadi kwa wananchi wengi wewe huoni ni hatari?!
mkuu serikali ilisha Jenga imani kwa wananchi na ilifanikiwa kwa ilo shida na wasiwasi ni Kama watakili kuwa upo watajenga ofu kwa kiasi kikubwa Jambo ambalo litasababisha mahambukizi yasambae kwa Kasi mkuu serikali inaona na inaendelea kuchukua hatua mbalimbali katika kukabiliana na janga ili la Corona tuendelee kujifukiza na kufanya mazoezi na kufuata tahadhali nyingine zinazoelekezwa na wataharamu wa afya.
 
Na ndiyo maana kupima lilikuwa ni janbo muhimu sana.

Rais Magufuli anataka kuendesha nchi kimbumbumbu. Hataki kupima, hataki takwimu! Mtu wa namna hiyo, hivi anatakiwa kuwekwa kundi gani?

Katika Dunia ya kisasa, kila jambo, liwe jema au baya, cha kwanza ni takwimu. Magufuli hataki takwimu. Hivi kweli huyu ni kiongozi anayehitajika kwenye karne hii?
Kwanini unafikiri tunahitaji takwimu?
 
Hawataki kutangaza kupiga marufuku salam za kushikana mikono ili corona isambae wengi wafe wapate pesa nyingi toka WHO wakajengee SGR ambayo ujenzi wake unasuasua kwa Ukata
Hata wao hao unaowazungumzia nao wanashikana mikono ina maana nao wamejiweka kundi la hao wanaotakiwa kufa?
 
Mpigie huyu 0783132277 au 0715132277 anaitwa Sele ni mshauri mkuu wa CCM idara ya mitaani club Bar vijiweni kila kona zote zenye mikusanyiko ikiwemo super market, mpigieni mwambieni kwa kuwa alisema magufuli humsikiliza sana nina imani mkimpigia wengi atafikisha salam ikulu kwa haraka zaidi.
Ukiwa huna akili huna tu, aliyekupa ruksa ya kutoa namba za watu hapa bila utaratibu ni Nani?

Na Kwa akili yako unaona Sawa? Wewe mbona Una I'd feki?
 
Ni wakati ambao tunapita katika kipindi kigumu sana kama watumishi wa secta pendwa hii katika kuhudumia watanzania wenzetu.

Wanaoendelea kusema ugonjwa huu (covid 19 ) haipo watazame mara mbili labda wanamatatizo kwenye afya ya akili.

Watanzania tunapenda kuamini vitu pale anapozungumza kiongozi moja mkubwa sana,na naweza kusema siasa kiongozi wa siasa anasikilizwa nchini Tanzania kuliko mtu yoyote hata kwa wale wenye uundani wa kujua afya za watu na hiyo ndo Tanzania ya sasa.

Ukweli ni kwamba watu wanakufa,fanyeni uchunguzi ili muache kuropoka kwa kusema tuko salama kuliko wengine,

Katika kipindi hiki Tanzania ingetufaa sana kama Rais angekuwa mkapa au kikwete.

Nasema na kuwaasa Watanzania corona inaua ,tuvae barakoa ,na kuchukua tahadhari hali ni mbaya
 
Acha upuuzi.

Katika mapambano haya ni lazima serikali itoe uongozi. Kuna nafasi ya mtu mmoja mmoja na nafasi ya Serikali.....
Acha kuwa mjinga ww..

Ugonjwa huu uliingia hapa nchini tangu mwezi March mwaka jana,na tangu uingie serikali haijawahi kusema umekwisha kabisa.Sasa kama hukujiepusha kwa kipindi chote hicho na haujafa!!,iweje uanze kuchukua tahadhari sasa?

Wabongo kuweni na Akili sio kila uvumi wa mitandaoni ni wa kuzingatia,hata hayo ma waraka yenu ni ya kusapoti biashara za watu tu.wala sio kweli kuwa kuna hatari kubwa kiivyo.

Hivi unachukuliaje huu ugonjwa wewe!!?ww unadhani ugonjwa ungekuwa kwa kiasi mnachotishana kwenye magroup yenu,unadhani hata kwa hizo tahadhari tungepona?

Karagabaho..........
 
Jamani serikali si imesema tuchukue hatua. Tuvae barakoa, sanitaiza na social distance...

Unataka serikali ikwambie nn tena?

Mbona unailaumu sana ,eboo
 
Back
Top Bottom