JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,106
- 3,523
Naam wanajamvi!
Hawa CCM wanatuaibisha sana kidunia. Yaani huwa siwaelewi. Siyo wote, ila walio wengi nafikiri wanakosa tools of analyzing things. Wamesoma ila maarifa wameyaacha huko huko shuleni. Inakuwaje lakini?
Kwanini nasema hivi? Ukweli ni kwamba Covid -19 ipo! Na watu wengi wanakufa kwa huu ugonjwa. Mashirika ya dini na taasisi mbali zimeanza kuwakumbusha watanzania wajibu wa kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya ugonjwa huu, lakini kule Bungeni kuna mtu amesikika akisema msimamo wa serikali wa kuto kufuata maelekezo ya social distancing, kunawa mikono kwa kutumia maji tiririka na sabuni au vitakasa mikono ni MSIMAMO SAHIHI ! Fikiria hawa watu ni wazima kweli ?
Jambo moja nililo na uhakika ni kwamba ikiwa Rais Maguli akiamua kuvunja ukimya na atangaze tuendelee kujikinga kwa kuvaa barakoa na kunawa mikono, kesho tu wote wataanza kumsifia kwa SAUTI KUU kuwa Rais amekuja na msimamo sahii na uliobeba maono.Hivi huyu Mungu hana namna ya kuwatumia watu hawa ili tuondokane na huu ujinga wao.