Misukule ni wengi TanzaniaTatizo wewe ni lofa tu loko wa Tanzania. UNgejua Denmark kiliwatokea nini walipochukua msimamo kama wa Tanzania usingeongea hapa.
Misukule ni wengi TanzaniaTatizo wewe ni lofa tu loko wa Tanzania. UNgejua Denmark kiliwatokea nini walipochukua msimamo kama wa Tanzania usingeongea hapa.
Nadhani kuna haja ya kuwaambia Magufuli, Majaliwa, Gwajima na Ndugai kwamba tutawashitaki ICC kwa kusababisha kimakusudi vifo vya Watanzania wakati wakiwa na uwezo wa kuvizuia.Mkuu,kama wewe unaweza kuvaa barakoa kila mahali na kukaa ndani kaa.,kama unasubiri kuambiwa ujilinde ndio ujilinde karagabaho.Tusilazimishane kujilinda,kila mtu ashinde mechi zake.
Jamaa wa ufipa nafikiri bado wanangoja wazungu wawaambie, manaake rais keshasema mara kibao tusiache kuchukua tahadhari lakini wao wanajifanya hawasikii.Hivi kuna mtanzania hasiyejua namna ya kujikinga na gonjwa hili?
Mbona wewe hujafa sasaHivi kwa nini hadi sasa serikali bado inafumbia macho ukweli kwamba Tanzania imefikia hali mbaya sana ya maambukizi, kuugua na vifo vinavyotokana na Covid-19? Ni kwa kuwa raisi na voingozi wengine wanaona aibu kukubali ukweli kwa kuwa huko nyuma walitoa kauli zilizoonyesha kwamba Tanzania hatuna Covid-19?....
Hapana, mi nadhani tahadhari ya mtoa mada ina mashiko. Bila kuwaambia watu wote kama ilivyokua mwaka jana, usitegemee watu wa kawaida kuchukua tahadhari, na hilo ni jambo la hatari. Hivyo kuwapa elimu wananchi wote ni jambo bora na jema kuliko kila mmoja kujilinda kivyake, kwani ikitokea hii strain ikasambaa hadi kwa wananchi wengi wewe huoni ni hatari?!mkuu Kwanza punguza woga kikubwa unafahamu taratibu za kujikinga ni vyema ukazi zingatia
Japo kulikubali tatizo na kuhakikisha kuchukuliwa kwa tahadhari kwa kila mmoja.Tunajua lakini tunahitaji coordinated effort ya serikali, ikibidi kuzuia mikusanyiko, nk
Kufa ni suala la wakati tu,ila kuna hatua au sababu kuelekea huko.Mbona wewe hujafa sasa
Mie ni msomi na mwenye uelewevu wa mambo, lakini bado ninaweza kuathiriwa na kutokuwapo kwa mkakati wa serikali. Lakini pia najua kuna Watanzania wengi tu ambao wanakufa kwa kukosa maarifa katika kupewa uongozi na kutokuwapo mkakati wa serikali katika upambana na Covid-19. Kwa hiyo ni shauri yao?Mbona wewe hujafa sasa
Umejuaje?Mbona wewe hujafa sasa
Umenena vyema na kiungwana sana. Sasa naunga mkono hoja yakoMie ni msomi na mwenye uelewevu wa mambo, lakini bado ninaweza kuathiriwa na kutokuwapo kwa mkakati wa serikali. Lakini pia najua kuna Watanzania wengi tu ambao wanakufa kwa kukosa maarifa katika kupewa uongozi na kutokuwapo mkakati wa serikali katika upambana na Covid-19. Kwa hiyo ni shauri yao?
Sunaona kaandika post hii? Na ameniquote tayar?Umejuaje?
Msukule no.1 niwanaotaka kuona watanzania wakifa huku wakifurahia.Misukule ni wengi Tanzania
Acha upuuzi.Mkuu,kama wewe unaweza kuvaa barakoa kila mahali na kukaa ndani kaa.,kama unasubiri kuambiwa ujilinde ndio ujilinde karagabaho.Tusilazimishane kujilinda,kila mtu ashinde mechi zake.
Na una uhakika kila Mtanzania, vijijini na mijini, watoto kwa watu wazima, wazee kwa vijana, wanazifahamu? Acha kuwa self-centred kiasi hicho.mkuu Kwanza punguza woga kikubwa unafahamu taratibu za kujikinga ni vyema ukazi zingatia
Bongo kuzuia mkusanyiko ni ngumu !Tunajua lakini tunahitaji coordinated effort ya serikali, ikibidi kuzuia mikusanyiko, nk
Kwa nini Mkuu, ikiwa ncho zote zimeweza kuzuia mikusanyiko?Bongo kuzuia mkusanyiko ni ngumu !
Labda mikusanyiko kama ipi izuiliwe?
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Imbeni tu mapambio simnataka mbaki nyie ili mfaidi keki ya taifa.Wengi wa wale wenye access ya vitu vingi vizuri kwenye maisha tunayoishi ikiwa ni pamoja na wasomi na wafanyabiasha wakubwa ndio wengi wao wanapata shida ya upumuaji na homa ya mapafu
Sijui hivi vitu vinahusianaje😇
Mungu tunusuru watu wako 🙏