Nimeota ndoto mbaya sana,wakati wa mwenda zake mola wetu alikuwa nasi kwa karibu sana hivyo alitufurahia sana watanzania kwa kuonyesha tumaini letu kwake yeye aliye mkuu wa kila kitu,Nashauri pamoja na kuwa na machanjo mabarakoa keeping distance and freq washing up our hands bado haotoshi DUA za kunutu na dua nzito nzito za kikristo na madhehebu mbali mbali zinahitajiwa haraka sana ''MUNGU WETU NI MUNGU MWENYE WIVU SANA''kwa kuwa tulishaamua kujiweka mikononi mwake pamoja na yote yajayo tusiiache njia ambayo tuliitumia hapo awali.
 
Kweli kabisa,nakuunga mkono,tufanye maombi ya kuomba rehema( kutubu) na kumwomba Mungu atuponye na hili janga
 
Hata sasa hivi Rais akiamua kusema corona imeisha na kuzuia watu kuiongelea corona, itaisha tu !
 
Back
Top Bottom