ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,076
- 49,785
Akiwaapisha Viongozi aliowateua Rais Samia amesikika akisema Kwa miaka hii 3 Serikali yake imekopa sana Kwa Ajili ya Huduma za jamii ila Sasa wanaenda kupunguza kukopa.
Kwa haraka haraka Kwa mtu ambae sio mchumi ataona Rais Yuko kwenye muelekeo sahihi ila binafsi napingana na hiyo Kauli.
Nchi hii Kwa miaka Mingi tumekiwa tukiogopa kukopa kana kwamba ni Dhambi au jambo baya wakati katika Hali ya kawaida Ili upige hatua za maendeleo Kwa haraka lazima ukope iwe kwenye biashara binafsi au Kwa Nchi.
Wakati Serikali inasema itapunguza kukopa, deni letu liko chini ya mstari wa ukomo kulingana na vigezo rasmi na mbaya zaidi taasisi za kufanya tathmini ya kukopesheka Kwa Nchi zimeiweka Tanzania kwenye alama B+ na Kato ya Nchi 10 Za Afrika Zenye Madeni madogo sana.
Wakati sisi tunaogopa kukopa wenzetu mfano Angola,Kenya,Uganda nk Wana Madeni kuzidi 100% Juu ya mstari wa ukomo.Hivyi hivyo Kwa Nchi zote kubwa Duniani ikiwemo China ,USA nk.
View: https://www.instagram.com/p/C4ctEmHsQFH/?igsh=MXcwYTV4Z3k0bnZyZA==
Hoja yangu ni nini ,Naomba Serikali Iongeze juhudi za kukopa badala ya kupunguza. Kwa nini tuendelee kukopa
1. Tanzania ni Nchi kumbwa ambayo inakabiliwa na Changamoto kubwa ya miundombinu ya uchumi mfano Umeme,Maji na Barabara
-Bila kukopa tutadunduliza Kodi za kukamua maskini Hadi lini?
2. Watu Wetu ni maskini.Tafsiri ya kupunguza kukopa manake ni kuongeza Kodi na tozo.
-Yaani tuna Nguvu kazi ambayo 70% inategemea Kilimo Cha kujikimu,Sasa watu Hawa utawaongezea Kodi na tozo watajikwamua lini kiuchumi?
3. Tuna fursa ya Kukopa na Tunakopesheka.
-Serikali isiache kukopa Kwa sababu tunayi hiyo fursa na tunakopesheka,Sasa ni Bora kutumia fursa Sasa hivi kuliko kusubiria.
Ushauri.
-Serikali ikope Mahsusi Kwa Ajili ya kufungua miundombinu ya Uchumi kama Barabara,maji,Umeme na Miundombinu ya Kilimo Cha Umwagiliaji.
Tuache kabisa kukopa Kwa Ajili ya Huduma za jamii kama kujenga mashule,Vyuo,Vituo vya Afya na mambo ya Mahakama.Hizi Huduma ndio tuzifanye Kwa makusanyo yetu.
My Take
Vicious circle of Poverty rule inasema kinachosababisha umaskini ni kukosa capital ambayo ingekuwa invested na Kuongeza production.
JK amewahi nukuliwa akisema Watanzania Wanakabiliwa na umaskini wa kipato Sasa huo umaskini hauwezi kutatuliwa Kwa kuongeza Kodi,tozo na Utitiri wa urasimu in the name of kujitegemea.Ni Kuzalisha maskini Juu ya maskini.