Ndugu wazee leo nayo siku. Leteni hiyo mikeka tukopi basi.
1674903566416.png
 
Naitaji msaada jaman namba ambayo ntwapata meridian kwa haraka hela nimekula nina shida nayo aitoki afu nikiwapigia nakutana na maelezo afu simu badae inakatwa
Kama unatumia app log out then ingia kwa website ikishindikana na hapo wacheki kwa email huwa wanarespond haraka sana
 
Naitaji msaada jaman namba ambayo ntwapata meridian kwa haraka hela nimekula nina shida nayo aitoki afu nikiwapigia nakutana na maelezo afu simu badae inakatwa
Agiza rafiki yako aende shop yoyote ya Meridian akutolee huko via shop.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom