Moja ya kampuni za hovyo ni hawa majamaa... Mm mwenyewe nmewithdraw vya kutosha hakuna kitu.. Yan unaweza lala njaa na hela uko nazo. 1Xbet wataendelea kuongoza
 
Single bet 100% sure bet....
IMG-20230128-WA0019.jpg
 
Lens na Troyes siwaelewi na 2+ yangu, wakati wote wana rekodi nzuri ya magoli zaidi ya ma2 kwenye mechi zilizopita.

Na huyu Lens akiwa ugenini nitaanza kumhofia sasa, sio wa kumfata kichwa kichwa!
 
Back
Top Bottom