Another one ... 100% sure bet
IMG-20230128-WA0020.jpg
 
DAH NATAMANI KUACHA KUBET ASEEEE
kinachokukatisha moyo ni:

1: kukopi mikeka ya wengine
2: bado hujawa na experience ya kubet
3: hujawa mzoefu wa kutafuta na kutest sources mbalimbali
4: unastake high wakati hujawa na experience ya kubet


jifunze kubet kwa kujitafutia sources wewe mwenyewe. unapotest sources usistake high stake chini ya sh. 200 au hela isiyokuuma.

kubet ni starehe kama, hustake high na ukishakuwa na experience ya kutosha. jifunze kutafuta sources na acha kutegemea codes za wengine
 
Back
Top Bottom