fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,257
- 3,884
Kama una leseni ya udereva au Nida jaza hapo maana vyote vipo kwenye hizo ID
email yako ata km Mwanzo hukuek...kujaz lazimOy pale ukitaka kudeposite helabet naona kuna sehem ya kujaza kiasi halafu kuna email pale na first name na second name, pale ni lazima kujaza au vipi? Na vipi kama wakati nafanya registration hivyo vitu sikuviweka?
Ulivyoelewa ni sahihi kabisa ila ukiweka hela ndio unakutana na muujiza.Wazee kule 1xbet kuna option ya X in 15 minutes. Je inamaana zile dakika 15 za kwanza ikitokea sare umekula mkeka ama?. Kwamba goli likifungwa baada ya dakika hizo halihesabiki si ndiyo? Au nimeelewa vibaya
🤣🤣🤣ni hatari, kabla hujabet unaiona ni option moja ya hela nje nje ila weka hela sasa🤣pimbi mmoja anaweka goli dakika ya 5.Ulivyoelewa ni sahihi kabisa ila ukiweka hela ndio unakutana na muujiza.
OhooKampuni la kijinga la bi tozo hilo
Umepigwa za uso hapo5E20AF1 hii ni ya chapchap betpawa
4390F39 edited kutoka kwa code ya bigboi- betpawa.80A271C BETPAWA
532B67C SPORTY
Mkuu ukiweza kutoa hela kwa Mastercard ya airtel money..utupe mrejesho plzHabari wakuu samahani nataka kutoa pesa kutoka 1xbet kuingia kwenye MasterCard ya Airtel money, sasa hatua ya Kwanza ya kujaza card number na CVV Nishafaulu hapa ndio nashindwa, hapa kwenye kipengere cha document issue date, document number na permanent registered address naombeni mnisaidieView attachment 2498141
Habari wakuu samahani nataka kutoa pesa kutoka 1xbet kuingia kwenye MasterCard ya Airtel money, sasa hatua ya Kwanza ya kujaza card number na CVV Nishafaulu hapa ndio nashindwa, hapa kwenye kipengere cha document issue date, document number na permanent registered address naombeni mnisaidieView attachment 2498141
Habari wakuu samahani nataka kutoa pesa kutoka 1xbet kuingia kwenye MasterCard ya Airtel money, sasa hatua ya Kwanza ya kujaza card number na CVV Nishafaulu hapa ndio nashindwa, hapa kwenye kipengere cha document issue date, document number na permanent registered address naombeni mnisaidieView attachment 2498141
Jana mrusi tulimkosakosa tena... Leo sio jana tunatiririka nae kama sheria...