Mechi ya pili tangu kuanza kwa ligi, lakini Mashabiki wa Yanga wanadhani zimebaki mechi mbili kumaliza

PakiJinja

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
7,646
15,757
Kwa kiwango na mfumo wanaoenda nao Yanga tangu mechi za Majaribio msimu huu, hadi mechi za ushindani, ni ukweli ulio dhahiri kwamba Yanga ipo kwenye form nzuri sana.

Hali ikiendelea hivi kwa mechi tatu zijazo, basi walio chini itabidi wakaze buti tu na wamfuate hukohuko juu, kumsubiri chini itakua ni dua la kuku.

Pamoja na hayo, hali hii imeibua hamasa na furaha kwa mashabiki wa timu ya Yanga, kiasi cha wengi kujisahau na kudhani zimebaki mechi mbili ligi kuisha wakati ndiyo kwanza ni mechi ya pili.

Ni vyema sana kufurahia, ila ni vyema zaidi kuwa na akiba ya furaha na maneno, maana huu ni mchezo, wakati mwingine ushindi katika mchezo huu hautokani na ubora wa timu, bali makosa ya binaadam wote wanaohusika na mchezo, kuanzia wachezaji, waamuzi, viongozi wa timu, viongozi wa Chama Cha Mpira, viongozi wa kisiasa, afya, mashabiki n.k.

Alamsiki
 
Kwa kiwango na mfumo wanaoenda nao Yanga tangu mechi za Majarubio msimu huu, hadi mechi za ushindani, ni ukweli ulio dhahiri kwamba Yanga ipo kwenye form nzuri sana.

Hali ikiendelea hivi kwa mechi tatu zijazo, basi walio chini itabidi wakaze buti tu na wamfuate hukohuko juu, kumsubiri chini itakua ni dua la kuku.

Pamoja na hayo, hali hii imeibua hamasa na furaha kwa mashabiki wa timu ya Yanga, kiasi cha wengi kujisahau na kudhani zimebaki mechi mbili lugi kuisha wakati ndiyo kwanza ni mechi ya pili.

Mzazi, huwa hangoji hadi afikishe mtoto wa 4 ndo afurahi. Anaanza kufurahia tangu mtoto wa kwanza, na kila anayefuata. Na kwenye kila namba, wakitokea mapacha (5G), furaha huongezeka..!!
 
Kwa kiwango na mfumo wanaoenda nao Yanga tangu mechi za Majarubio msimu huu, hadi mechi za ushindani, ni ukweli ulio dhahiri kwamba Yanga ipo kwenye form nzuri sana.

Hali ikiendelea hivi kwa mechi tatu zijazo, basi walio chini itabidi wakaze buti tu na wamfuate hukohuko juu, kumsubiri chini itakua ni dua la kuku.

Pamoja na hayo, hali hii imeibua hamasa na furaha kwa mashabiki wa timu ya Yanga, kiasi cha wengi kujisahau na kudhani zimebaki mechi mbili lugi kuisha wakati ndiyo kwanza ni mechi ya pili.

Ni vyema sana kufurahia, ila ni vyema zaidi kuwa na akiba ya furaha na maneno, maana huu ni mchezo, wakati mwingine ushindi katika mchezo huu hautokani na ubora wa timu, bali makosa ya binaadam wote wanaohusika na mchezo, kuanzia wachezaji, waamuzi, viongozi wa timu, viongozi wa Chama Cha Mpira, viongozi wa kisiasa, afya, mashabiki n.k.

Alamsiki
Unaleta siasa, Mpira ni uwekezaji, kama hujaona uwekezaji uliofanywa na Yanga basi haya yanayotokea utadhani ni kubahatisha au yanakuja yenyewe.

Kumbuka Yanga imestruggle sana kipindi cha nyuma watu wapo uwanjani wanamtegemea Ditram Nchimbi na Molinga ndio wawape furaha huku benchi la ufundi mnategemea Mwinyi Zahera, tumeshatoka huko.
 
Mashabiki wa Uto ukimtoa Tate Mkuu , Kilimbatzz na LIKUD waliobaki awajielewi.

Frank Wanjiru kwisha Dr Matola PhD

👆 awa mashabiki wa Uto watata awaelewi somo hao.wazee wa kazi chafu.😅😂
Huyu ni Popoma, siyo Mimi.

Unaleta siasa, Mpira ni uwekezaji, kama hujaona uwekezaji uliofanywa na Yanga basi haya yanayotokea utadhani ni kubahatisha au yanakuja yenyewe.

Kumbuka Yanga imestruggle sana kipindi cha nyuma watu wapo uwanjani wanamtegemea Ditram Nchimbi na Molinga ndio wawape furaha huku benchi la ufundi mnategemea Mwinyi Zahera, tumeshatoka huko.
Pamoja na yote hayo,hatujawahi kuwa chini ya nafasi ya pili,hao wenzetu kuna mwaka almanusura washuke daraja tukawabeba.
 
Wazee wa Viti Maalumu ratiba ishatoka mkatutie aibu kwa hamsa hamsa
Kupigwa hasma kwenye soka uwa ipo,ushahidi huu hapa👇,,😂😅

images (1).jpeg

D:D:D
 
Back
Top Bottom